Nani amepata ujumbe wa kuzuia uhalifu wa usafirishaji haramu wa binadamu?

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
88,759
Reaction score
123,368
Niaje,

Nilitumiwa ujumbe huu kwenye simu yangu;

ZUIAUHALIFU

Jihadhari na Usafirishaji Haramu wa Binadamu. Watu wanatumikishwa, wanateswa, wanatolewa figo na kuuawa.

Tushirikiane kupiga vita uhalifu huu.


...​

Nani mwingine amepata ujumbe kama huu kwenye simu yake?

OVA
 
Polisi wa CCM bwana::!!?Si wametoa kanusho la watu Kutekwa kwamba ni uzushi...na Bosi wao akasema ni drama?,!Sasa hili la figo mbona ni jipya na hatujalisikia au ni mimi tu?
 
Miye, kwani vipi?
 
Na mimi nishatumiwa!
 
Mimi nimetumiwa huo ujumbe zaidi ya mara moja hadi sasa.
 
Mimi kwani unasemaje?
 
Polisi wa CCM bwana::!!?Si wametoa kanusho la watu Kutekwa kwamba ni uzushi...na Bosi wao akasema ni drama?,!Sasa hili la figo mbona ni jipya na hatujalisikia au ni mimi tu?
Watu wanasafirishwa ughaibuni kwa ahadi ya kupatiwa kazi nzuri hasa za ndani kwa wanawake baadae wananyofolewa figo na tajiri yake anauziwa mgonjwa. Mfanyakazi huyo hurudishwa kwao akiwa katika halo mbaya ya matibabu. Kama una ndugu yako mkataze kwenda ughaibuni bila uenyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…