Nani Amesahaulika Kwenye Kikosi Hiki?

Hivi Ramires anacheza timu gani sasa hivi
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Becker amecheza mechi ngapi msimu huu mpaka amweke nje De Gea ni bora hata wangempa nafasi Adriano ambaye licha ya madhaifu kadhaa lakini amejitahidi kuziba vyema lango lake.

Huyo Danny Mills aliyetaja hiko kikosi ni mzandiki tu, amedhihirisha kuwa watu wenye vipara wana matatizo makubwa. Na chuki yake dhidi ya United imeanza toka enzi akicheza kwa watani zetu Leeds Utd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…