Nani Amesahaulika Kwenye Kikosi Hiki?

Nani Amesahaulika Kwenye Kikosi Hiki?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Mtandao wa Goal.com umetoa kikosi bora cha Chelsea kwa muongo mmoja. Nani amesahaulika hapa?
IMG_20191015_183908.jpeg
 
Hivi Ramires anacheza timu gani sasa hivi
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Becker amecheza mechi ngapi msimu huu mpaka amweke nje De Gea ni bora hata wangempa nafasi Adriano ambaye licha ya madhaifu kadhaa lakini amejitahidi kuziba vyema lango lake.

Huyo Danny Mills aliyetaja hiko kikosi ni mzandiki tu, amedhihirisha kuwa watu wenye vipara wana matatizo makubwa. Na chuki yake dhidi ya United imeanza toka enzi akicheza kwa watani zetu Leeds Utd.
 
Back
Top Bottom