Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mtandao wa Goal.com umetoa kikosi bora cha Chelsea kwa muongo mmoja. Nani amesahaulika hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mawazo yangu toa Willian tia Malouda kwa mata tia Oscar , ama kibaki hivyo hivyo ila kwa mata akae lampard kwa lampard akae ramirez... Unakufa popote. Mimi ni Man utdMtandao wa Goal.com umetoa kikosi bora cha Chelsea kwa muongo mmoja. Nani amesahaulika hapa?
View attachment 1234317
This is a joke.Mtandao wa Goal.com umetoa kikosi bora cha Chelsea kwa muongo mmoja. Nani amesahaulika hapa?
View attachment 1234317
Vipi kuhusu Ballack?Kwa mawazo yangu toa Willian tia Malouda kwa mata tia Oscar , ama kibaki hivyo hivyo ila kwa mata akae lampard kwa lampard akae ramirez... Unakufa popote. Mimi ni Man utd
Mtandao wa Goal.com umetoa kikosi bora cha Chelsea kwa muongo mmoja. Nani amesahaulika hapa?
View attachment 1234317
kocha ni huo mtandao wa GOALAmesahaulika kocha
Yupo chinaHivi Ramires anacheza timu gani sasa hivi
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Becker amecheza mechi ngapi msimu huu mpaka amweke nje De Gea ni bora hata wangempa nafasi Adriano ambaye licha ya madhaifu kadhaa lakini amejitahidi kuziba vyema lango lake.
Carvalho kaondoka lini Chelsea?Toa hiyo takataka Cahill weka CAVALHO au ALEX,
Toa hiyo takataka Willian weka FLORENT MALOUDA au MICHAEL BALLACK,
hapo kwa NGOLO KANTE hapo anakosekanaje OBI MIKEL kwa mfano ?
Molouda?Kwa mawazo yangu toa Willian tia Malouda kwa mata tia Oscar , ama kibaki hivyo hivyo ila kwa mata akae lampard kwa lampard akae ramirez... Unakufa popote. Mimi ni Man utd
Carvallo for cahill.Mtandao wa Goal.com umetoa kikosi bora cha Chelsea kwa muongo mmoja. Nani amesahaulika hapa?
View attachment 1234317
Basi akae Kaniki golotaMolouda?