Nani amesema Mzee Dosa Aziz Ali alifirisika kwa kupigania uhuru?

be blessed
 
Hujathibitisha mimi ni muongo vipi.

Unajibaraguza kwamba najibaraguza.

Umedanganya post namba 43, ukashushuliwa kisha ukaulizwa hiyo kesi ilikuwa lini? Ukagwaya.

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
 
Ama kweli tenda wema nenda zako......
 
Kuna shule ya Sekondari pale Mlandizi inaitwa Dossa Aziz Secondary School, ni mali ya familia au ya Serikali?
 
Huwa nashangaa sana pale historia imekua ikimtaja mtu mmoja tu ndie shujaa.ktk kulikomboa hili taifa, lkn najiuliza hivi alikuaga mwwnyeweee na wakat alikua mwalimu tena kutoka mbwinde sasa inakuaje aonekane shujaaa sanaa wakat pia hakuwah hata kuchapwa kofi ktk hizo.harakat...simchukii lkn na wengine wapewe heshma zao jamani wana history mtusaidie
 
Ww n mzushi na mdini japo sio baya niseme mbaguzi wa dini
unaandika historia kutoka katika masimulizi siku zote historia inayo andikwa kutokana na masimulizi upoteza ualisia mtu anaweza kupindisha jinsi anavyotaka sema unatafuta nafasi ya ndungu zako sijui babu yako katika historia ya Tanganyika

Watu watakao kutilia maanani ni wale ambao wanataka mambo yawe kama ww unavyotaka na jamii yako

Na mm nikitaka nitaandika historia ya babu yangu OSCAR KAMBONA jambo ambalo sio kweli

Ss waafrica hatuna tamaduni za kuto kuandika autobiography zetu ndo maana tukifa zinapotea uwezi kumlaumu mtu katika wao kupotea katika Historia ya Tanganyika

Sema kma unatafuta skapegoat labda lakini si fingine
 

tuandikie wewe historia ambayo haijapindishwa ili tuujuwe ukweli, kama huwezi japo kutuwekea ushahidi wa palipopindishwa basi wewe ni muongo na ukweli unakuuma.
 
Amani Msumari umekumbana na msonobari naona umejichimbia kaburi, ulikuja kwa kiburi umeondoka kwa tahayuri.
Nimekumbana na msonobari wako au wa nani bibie? Sikuja kwa kiburi bali nilikuja tujadili na siwezi kukimbia kwani hiyo sio hulka yangu. Sina tahayuri, niko vizuri labda wewe kama unajishtukia na mashushu yako. Tuliza boli, jenga hoja mdogo wangu wa kike.
 
Kipi ulichojadili hadi sasa hivi, umeambiwa haya leta wee ukweli, umegwaya.

Mdogo wako tena? Sijawa na ndugu punguani.
 
Kipi ulichojadili hadi sasa hivi, umeambiwa haya leta wee ukweli, umegwaya.

Mdogo wako tena? Sijawa na ndugu punguani.
Faiza Foxy,

Kichwa cha habari cha uzi wangu chauliza, Ni nani aliyesema Dossa Aziz Ali alifilisika kwasababu ya kupigania uhuru?

Maana yake ni kuwa nilitaka ushahidi usio na chembe ya shaka kuhusu uhusiano wa kupigania uhuru kwa Dossa na kufilisika kwake. Kama watanzania tunayo haki ya kujua historia yetu na pale ambapo hatuna majibu ya kutosha tunauliza na kushirikishana majibu/mawazo. Uzi wangu haukuwa na lengo la kubeza au kukashifu bali kuuliza na hatimaye kufungua mjadala kwenye hilo na mwisho wa siku watu tupate maarifa kwenye jambo hili la marehemu mzee wetu Dossa. Sasa ambacho sijaelewa ni baadhi ya watu kama wewe kuchukulia hasira, kutumia lugha chafu zenye maudhi na pia wengine kukashifu. Hilo halikuwa lengo langu.

Mimi naamini siku zote kimtokacho mtu ndio kimeujaza moyo wake. Sipo kwa kashfa, matusi au kudharau na kudhalilisha wengine, kama unaweza kuchangia kwa lugha nzuri na zenye staha basi fanya hivyo na kama huwezi ni bora kunyamaza. Mimi sitajibishana na wewe au na mtu mwingine yeyote ambaye hataonesha ustaarabu.
 
Kama alitumia rasilimali zake ku-invest kwenye mapambano ya kutafuta uhuru kwa ajili ya faida na baadaye "akalalamika" kuwa kala "hasara" basi hapaswi hata kutajwa. Yeye alipoteza mali, wale waliopoteza uhai na utu wao tangu enzi za Maji maji hadi uhuru nao tuwasemee vipi kwa hasara hiyo?
 


Ungeanza kwa kuweka ushahidi kwa uyasemayo. Amma uoneshe waliosema kafilisika, na uoneshe walipokosea kwa ushahidi kamili, au uliota tu?

Amma uoneshe kama kweli hajafilisika lakini si kuja na pumba na unapoulizwa na wachangia mada maswali ya msingi hujibu.

Maana yake? Ni mnafik na fataani tu, hakuna zaidi.
 
Naona tuu umeamua kutokuelewa. Niweke vp ushahidi wakati nimeuliza swali na nilitarajia kupata majibu? Halafu nioneshe vp hao waliosema kafilisika wakati sijawajua na ndio maana nikauliza ni nani aliyesema hivyo?

Naona tuu umeamua kupanga tabu, basi mimi nasema umeshinda katika hili, mjinga mimi.
 

Wewe kweli ni punguani, kajisome upya, umesema "Kuna watu wanadai mzee Dosa alifilisika kwasababu alitumia rasilimali zake kupigania uhuru wa Tanganyika.", sasa wewe uliota kuwa kuna hao "watu wanadai"?

Unapoambiwa leta ushahidi wa hao watu walio "dai" hivyo unacheza na maneno.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hebu jisome hapa ulivyoanza na mipasho
 
Unajibiwa unaanza kulia lia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…