Jamaa ni ana degree ya IT nadhani (sina uhakika sana).Huyu jamaa sijajua elimu yake ila inaonekana ni mtu wa kusoma sana vitabu. Kizazi hiki kwa wasanii wetu kumjua mtu kama Van Gogh, kujua equations za Schrödinger aisee lazima uwe mtu wa kusoma sana
Raptcha kaimba versi ya ngapi kwenye huu wimbi? Au wewe unazungumzia wimbo Gani?Ukwel usemwe rapcha ana uwezo mdogo sana...yaan kaharibu ngoma mpaka unatamani umfute kwenye wimbo[emoji35]...Disasta kafanya ngoma kama yake vile katisha,stamina nae kaua
Aisee ni kweli kabisa nimefanya kosa kubwa sana kumsahau Mzee wa story Tatu, nastahili kupata Adhabu Kali ya viboko 80Nasikitika TU hapo Kwa wakongwe wa ku_stick na mada umewezaje kumsahau Jay Moe!?
Ila uchambuzi wako ni mzuri na uandishi pia. Hongera.
Sio tu kumzidi, wamemuacha mbali sana hata kiuandishi. . . Unless uwe unasikiliza midundo vinginevyo hilo ulipaswa ufahamuAcheni zalau....kwahyo Motra,maarifa,boshoo wanamzidi Rapcha?
🤣🤣kabsa mkuu umewaza nje ya boXKwasababu yeye ni mkubwa sio underated, halafu goma limekaa kiunderground, me mwenyewe nisingekubali
Dogo anaimprove, umemsikia kwenye Mr. Xmas?Sio tu kumzidi, wamemuacha mbali sana hata kiuandishi. . . Unless uwe unasikiliza midundo vinginevyo hilo ulipaswa ufahamu
nasisitiza tena simaanishi jamaa hana kipaji au anaandika pumba bali tu mistari yake ni ya kawaida tena sana hivyo akaze buti na aumize ndonga
Yes, nimemsikia anachana juu ya gari, na kuna tofauti kubwa na awali, azidi kukaza buti, soon atajipata tuDogo anaimprove, umemsikia kwenye Mr. Xmas?
That's very clever Man! Namkubali sana huyo mwamba. Anaonekana mtu flani wa kusoma soma vitabu hasa literatureDizasta noma sana, anakwambia I'm in the top two and I'm not second!
ili aharibu ngoma?Wangeweka na mtaalamu wangu Young Killer Mwanza Mwanza
Sana aisee mi aliniua kwenye Ile disstrack ya rapcha alivyotaja Schrödinger's equation \hat{H} \Psi=E \PsiThat's very clever Man! Namkubali sana huyo mwamba. Anaonekana mtu flani wa kusoma soma vitabu hasa literature
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ili aharibu ngoma?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti kupiga kelele kwenye micWalioua
1. DIZASTA
2.STAMINA
3. P
4. MOTRA
5. BOSHOO na Maarifa wote Hamna walichofanya Cha maana, zaidi ya kumpiga kelele kwenye mic
hivi kweli Boshoo anamzidi YOUNG KILLER?ili aharibu ngoma?
Mbali tu...killer ana nini kwa boshoo masta?hivi kweli Boshoo anamzidi YOUNG KILLER?
Mkuu huwezi kuwa serious...! Hakuna ata sehemu Moja Boshoo anakaa na Killer sembuse kumzidihivi kweli Boshoo anamzidi YOUNG KILLER?
Msodoki ni mwamba,Mkuu huwezi kuwa serious...! Hakuna ata sehemu Moja Boshoo anakaa na Killer sembuse kumzidi
Kuanzia
*Delivery
*Flow
*Punchlines
*Lyrical
*Knowledge
*Word play
*Content
*Clarity
*Vocabulary Nk
With all due respect to Boshoo, Naheshimu uwezo wake ila wengi wamemjulia kwenye dakika 10 za maangamizi ila sio kupitia nyimbo zake, Kwa uwezo wake kuna wasanii kibao anawakalisha ila sio Msukuma
Mkuu, young killer ni Legend kabisa basi tu watu tunamchukulia poa sijui kwa Sababu ya umbo lake au sababu ya kushuudia mwanzo wake akiwa bado kijana mdogo
Kuna mabro kibao kwenye game hawakuti uwezo wa killer hasa kwenye Uandishi, ukiona mtu anamshindanisha Boshoo na killer basi ujue hajui chochote kuhusu hip hop, na kuna uwezekano mkubwa huyo mtu atakuwa ni shabiki wa Bongo flavour
Sikiliza Album yake Mpya TMA achana na Super Nyota kisha cheki Uandishi,flow, rhythms, style,flow, punchlines, wordplay, delivery alafu ujionee mwenyewe kama Boshoo anapaswa kulinganishwa na huyu jamaa
1.Legacy
2.Alhamdulillah
3.kila siku
4.Mimi
5.Interlude
6.Haya yote
7.Go ahead
8.Exclusive Interview
9.cheers
10.Business all-day