Nani ametisha kwenye ngoma ya Underrated?

Nasikitika TU hapo Kwa wakongwe wa ku_stick na mada umewezaje kumsahau Jay Moe!?

Ila uchambuzi wako ni mzuri na uandishi pia. Hongera.
Aisee ni kweli kabisa nimefanya kosa kubwa sana kumsahau Mzee wa story Tatu, nastahili kupata Adhabu Kali ya viboko 80

Wakati naandika majina, kulikuwa na Jina moja liligoma kabisa kuja, pamoja na kuload zaidi ya dakika 10 bila mafanikio ikabidi nisubmit tu

saizi ndio nakumbuka Lilikuwa ni jina la Mtaalamu, Juma mchopanga, Moe Technic
 
Acheni zalau....kwahyo Motra,maarifa,boshoo wanamzidi Rapcha?
Sio tu kumzidi, wamemuacha mbali sana hata kiuandishi. . . Unless uwe unasikiliza midundo vinginevyo hilo ulipaswa ufahamu

nasisitiza tena simaanishi jamaa hana kipaji au anaandika pumba bali tu mistari yake ni ya kawaida tena sana hivyo akaze buti na aumize ndonga
 
Dogo anaimprove, umemsikia kwenye Mr. Xmas?
 
hivi kweli Boshoo anamzidi YOUNG KILLER?
Mkuu huwezi kuwa serious...! Hakuna ata sehemu Moja Boshoo anakaa na Killer sembuse kumzidi

Kuanzia
*Delivery
*Flow
*Punchlines
*Lyrical
*Knowledge
*Word play
*Content
*Clarity
*Vocabulary Nk

With all due respect to Boshoo, Naheshimu uwezo wake ila wengi wamemjulia kwenye dakika 10 za maangamizi ila sio kupitia nyimbo zake, Kwa uwezo wake kuna wasanii kibao anawakalisha ila sio Msukuma

Mkuu, young killer ni Legend kabisa basi tu watu tunamchukulia poa sijui kwa Sababu ya umbo lake au sababu ya kushuudia mwanzo wake akiwa bado kijana mdogo

Kuna mabro kibao kwenye game hawakuti uwezo wa killer hasa kwenye Uandishi, ukiona mtu anamshindanisha Boshoo na killer basi ujue hajui chochote kuhusu hip hop, na kuna uwezekano mkubwa huyo mtu atakuwa ni shabiki wa Bongo flavour

Sikiliza Album yake Mpya TMA achana na Super Nyota kisha cheki Uandishi,flow, rhythms, style,flow, punchlines, wordplay, delivery alafu ujionee mwenyewe kama Boshoo anapaswa kulinganishwa na huyu jamaa

1.Legacy
2.Alhamdulillah
3.kila siku
4.Mimi
5.Interlude
6.Haya yote
7.Go ahead
8.Exclusive Interview
9.cheers
10.Business all-day
 
Msodoki ni mwamba,

Uwezo wake ni wa kushindanishwa labda na waliomzidi umri sio hawa kina bishoo, Kimya, young d na ma young Wengine wote,

Dogo ana Iq kubwa mnoooo.
 
Back
Top Bottom