Mkuu huwezi kuwa serious...! Hakuna ata sehemu Moja Boshoo anakaa na Killer sembuse kumzidi
Kuanzia
*Delivery
*Flow
*Punchlines
*Lyrical
*Knowledge
*Word play
*Content
*Clarity
*Vocabulary Nk
With all due respect to Boshoo, Naheshimu uwezo wake ila wengi wamemjulia kwenye dakika 10 za maangamizi ila sio kupitia nyimbo zake, Kwa uwezo wake kuna wasanii kibao anawakalisha ila sio Msukuma
Mkuu, young killer ni Legend kabisa basi tu watu tunamchukulia poa sijui kwa Sababu ya umbo lake au sababu ya kushuudia mwanzo wake akiwa bado kijana mdogo
Kuna mabro kibao kwenye game hawakuti uwezo wa killer hasa kwenye Uandishi, ukiona mtu anamshindanisha Boshoo na killer basi ujue hajui chochote kuhusu hip hop, na kuna uwezekano mkubwa huyo mtu atakuwa ni shabiki wa Bongo flavour
Sikiliza Album yake Mpya TMA achana na Super Nyota kisha cheki Uandishi,flow, rhythms, style,flow, punchlines, wordplay, delivery alafu ujionee mwenyewe kama Boshoo anapaswa kulinganishwa na huyu jamaa
1.Legacy
2.Alhamdulillah
3.kila siku
4.Mimi
5.Interlude
6.Haya yote
7.Go ahead
8.Exclusive Interview
9.cheers
10.Business all-day