Nani amewahi kupata ndoto usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili?

Nani amewahi kupata ndoto usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili?

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
558
Reaction score
661
Habari wanajukwaa

Nimekua napatwa na Hali ya kutopata ndoto usiku wa ijumamosi kuamkia jumapili hii imekaaje wakuu

Mwanzoni nilichukulia kawaida ila Hali hii imejitokeza tena usiku wa kuamkia Leo,ila kwa siku nyingine za wiki Hali huwa kawaida uwepo wa ndoto unakuepo.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom