Habari wana jamii, nimekuwa nasikia kupitia watu mabalimbali kuhusu biashara ya miti ya mitiki, binafsi nimepanda hii miti kwa ajili ya kulinda shamba huko
Msata miti imefika miche 2400 na nipo mbioni kupanda hadi kufikia miche elfu sita, ila kila nikikutana na watu wananiambia hiii ni biashara nzuri sana hapo itakapokuwa imekomaaa maana kwa sasa hii miti ina miaka mitatu.
Huwa najiuliza ni nani ambaye ameshafanya biashara ya kuuza mitiki sipati jibu na hata nikiwauliza wanaosema ni mali hakuna anayenionyesha. Kwahiyo ndugu wana jamiii kama kuna mwenye ufahamu wa hii biashara naomba kujuzwa.
Natanguliza shukrani kwenu.