Nani amewahi kuuza mitiki? Mwenye ufahamu wa hii biashara naomba kujuzwa

Upanga

Senior Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
145
Reaction score
50
Habari wana jamii, nimekuwa nasikia kupitia watu mabalimbali kuhusu biashara ya miti ya mitiki, binafsi nimepanda hii miti kwa ajili ya kulinda shamba huko

Msata miti imefika miche 2400 na nipo mbioni kupanda hadi kufikia miche elfu sita, ila kila nikikutana na watu wananiambia hiii ni biashara nzuri sana hapo itakapokuwa imekomaaa maana kwa sasa hii miti ina miaka mitatu.

Huwa najiuliza ni nani ambaye ameshafanya biashara ya kuuza mitiki sipati jibu na hata nikiwauliza wanaosema ni mali hakuna anayenionyesha. Kwahiyo ndugu wana jamiii kama kuna mwenye ufahamu wa hii biashara naomba kujuzwa.

Natanguliza shukrani kwenu.
 
Hakuna atakaye kujibu mkuu, atakaye kujibu muulize aliuza kwa nani? na kwa sh ngapi? hatarudi, kwa umri wa miti yako iliyofika bora utangaze kuwa umepata shida unaiuza hiyo miti kwa bei ya hasara pamoja na shamba ambapo wewe utakuwa umeshafanya calculation ya faida yako hilo jumba limuangukie mwingine
 
Habari wana jamii, nimekuwa nasikia kupitia watu mabalimbali kuhusu biashara ya miti ya mitiki, binafsi nimepanda hii miti kwa ajili ya kulinda shamba huko

Msata miti imefika miche 2400 na nipo mbioni kupanda hadi kufikia miche elfu sita, ila kila nikikutana na watu wananiambia hiii ni biashara nzuri sana hapo itakapokuwa imekomaaa maana kwa sasa hii miti ina miaka mitatu.

Huwa najiuliza ni nani ambaye ameshafanya biashara ya kuuza mitiki sipati jibu na hata nikiwauliza wanaosema ni mali hakuna anayenionyesha. Kwahiyo ndugu wana jamiii kama kuna mwenye ufahamu wa hii biashara naomba kujuzwa.

Natanguliza shukrani kwenu.
Hakunaga
 
mitiki ni biashara nzuri lakini unatakiwa kuitunza vizuri. soko linahitaji hasa mti wenye umri kuanzia miaka 15. ambapo bei zake zimegawanyika kulingana na size (circumference na diameter).
mtiki unaweza kuuzwa kwenye soko la ndani, au nje.
thamani yake halisi huendana na aina ya soko kwa mfano soko la ndani unaweza kuuza mti hadi kufikia 300000 (kulingana na urefu na circumference), wakati soko la nje huwa ni juu zaidi.
kwa miti ya miaka 3 hakikisha unafanya prooning na thinning ili miti iweze kunenepa vizuri hii itakuhakikishia thamani kubwa
kama miti ambayo imefikia umri wa kuvuna unaweza kuwasiliana nami,
call/text/ WhatsApp
0766006128
0655715184
kama pia unahitaji kulima mitiki wasiliana nami.
 
Mtoa mada waepuke na uwakemee hao wote wanaokwambia mitiki haina soko eti uuze ikamfie mwingine hakika ukiuza kwa miti ya umri huo utajuta milele yako yote na huyo utakayekuwa umemuuzia hakika hatakusahau kwa hiyo neema utakayokuwa umempa.Cha kufanya tembelea kwanza benki kubwa kubwa then uulizie je mitiki yaweza kuwa dhamana then utajibu maswali kadri utakavyoulizwa hapo ndipo unaweza kupata picha ya thamani ya miti hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unayesema kuna soko lakini hujui soko lipo wapi.... mwambie soko lipo wapi? Wananunua kwa sh ngapi? Hizo ni story za kusadikika bora alime mananasi tu ataenda kuuza buguruni
 
Habari wana jamii, nimekuwa nasikia kupitia watu mabalimbali kuhusu biashara ya miti ya mitiki, binafsi nimepanda hii miti kwa ajili ya kulinda shamba huko

Msata miti imefika miche 2400 na nipo mbioni kupanda hadi kufikia miche elfu sita, ila kila nikikutana na watu wananiambia hiii ni biashara nzuri sana hapo itakapokuwa imekomaaa maana kwa sasa hii miti ina miaka mitatu.

Huwa najiuliza ni nani ambaye ameshafanya biashara ya kuuza mitiki sipati jibu na hata nikiwauliza wanaosema ni mali hakuna anayenionyesha. Kwahiyo ndugu wana jamiii kama kuna mwenye ufahamu wa hii biashara naomba kujuzwa.

Natanguliza shukrani kwenu.

https://www.ippmedia.com/sw/biashara/serikali-yakusanya-bil-14-mnada-wa-hadhara-wa-miti

Watafute wakala wa mbegu za miti ofisi zao zipo morogoro njia ya kwenda Dodoma utaelewa
 
Mtoa mada waepuke na uwakemee hao wote wanaokwambia mitiki haina soko eti uuze ikamfie mwingine hakika ukiuza kwa miti ya umri huo utajuta milele yako yote na huyo utakayekuwa umemuuzia hakika hatakusahau kwa hiyo neema utakayokuwa umempa.Cha kufanya tembelea kwanza benki kubwa kubwa then uulizie je mitiki yaweza kuwa dhamana then utajibu maswali kadri utakavyoulizwa hapo ndipo unaweza kupata picha ya thamani ya miti hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliyewahi uza? Hili ndo swali lenyewe,hayo mengine ni maelezo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom