Nani amewahi shika nywele za mzungu au Singasinga?

Tofautisha kati ya kiumbe kilichotengenezwa maabara na kilichotoka ardhini. Toleo la 1 na la2 ni tofauti
 
Sijui ni mimi tu ndio sijamuelewa mleta mada??
 
Wala sio pombe zinaongea. Ni utoto
 
Waafrika nin kati ya watu wenye rangi nyingi zaidi duniani


1.Nyeusi sana – dark brown / ebony

2.Kahawia ya wastani – medium brown

3Kahawia nyepesi – light brown / tan

4Mchanganyiko / golden – beige / caramel.
Hapa umeniacha mataa. Mimi rangi yangu sijui ni ipi kati ya hizo πŸ€”
 
Fuga tu hicho kipilipili huwa kinapeperuka mkuu. Hata wao wakinyoa hazipeperuki na upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…