Nani ana cheti feki hapa?

Nani ana cheti feki hapa?

Simu karibia zote hapo zitazingua...lakini ukweli ni kwamba Casio yupo sahihi. Maana kanuni ni kufungua mabano kwanza ambapo
6÷2(2+1)
Baada ya mabano kuna kuzidisha
6÷2x3
Ambapo linafuata kugawanya
6÷6=1

Sasa simu nyingi zinaanzia kugawanya halafu zinafungua mabano jibu linakuja 9.
Mkuu hilo jibu mbona umelilazimisha sana?
 
apo umechemka mkuu fuata kanuni ya magazijuto then utapa jibu sahihi,jibu lake ni 9 let proove it

6/2(2+1)=
6/2*3 then
6/2=3 then
3*3 equal to 9
Nakubaliana na wewe...nimevurugwa na kuvuruga kabisa....
 
Simu karibia zote hapo zitazingua...lakini ukweli ni kwamba Casio yupo sahihi. Maana kanuni ni kufungua mabano kwanza ambapo
6÷2(2+1)
Baada ya mabano kuna kuzidisha
6÷2x3
Ambapo linafuata kugawanya
6÷6=1

Sasa simu nyingi zinaanzia kugawanya halafu zinafungua mabano jibu linakuja 9.
wrong mkuu, ref MAGAZIJUTO
 
Nakubaliana na wewe...nimevurugwa na kuvuruga kabisa....
Kuwa na msimamo wewe hapo jibu ni moja; yaani

6÷2(2+1)
Magazijuto inataka tuondoe mabano
6÷2(3)
Endelea kuondoa mabano [emoji13]
Itabaki 6÷6=1
 
Kuwa na msimamo wewe hapo jibu ni moja; yaani

6÷2(2+1)
Magazijuto inataka tuondoe mabano
6÷2(3)
Endelea kuondoa mabano [emoji13]
Itabaki 6÷6=1
Tehhhh tehh
Niwe na msimamo kama yule mwenye kichwa chenye nundu isiyokuwa na nywele mbele, mwisho mseme sishauliki.
 
Kuwa na msimamo wewe hapo jibu ni moja; yaani

6÷2(2+1)
Magazijuto inataka tuondoe mabano
6÷2(3)
Endelea kuondoa mabano [emoji13]
Itabaki 6÷6=1
Ukishaondoa mabano unaanza kugawa kwanza MA (MAbano) GA (GAwanya). Ukifuata mfumo huo lazima jibu lije 9
 
Back
Top Bottom