Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hilo jibu mbona umelilazimisha sana?Simu karibia zote hapo zitazingua...lakini ukweli ni kwamba Casio yupo sahihi. Maana kanuni ni kufungua mabano kwanza ambapo
6÷2(2+1)
Baada ya mabano kuna kuzidisha
6÷2x3
Ambapo linafuata kugawanya
6÷6=1
Sasa simu nyingi zinaanzia kugawanya halafu zinafungua mabano jibu linakuja 9.
Na mimi nitakuwa na vyeti feki sio bure...Mkuu hilo jibu mbona umelilazimisha sana?
Nakubaliana na wewe...nimevurugwa na kuvuruga kabisa....apo umechemka mkuu fuata kanuni ya magazijuto then utapa jibu sahihi,jibu lake ni 9 let proove it
6/2(2+1)=
6/2*3 then
6/2=3 then
3*3 equal to 9
Mkuu wewe ndio upo sahihi jibu ni moja usikubaliane na huyo kenge najua umempuuza tu,kuepuka kujibishana nae.Nakubaliana na wewe...nimevurugwa na kuvuruga kabisa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] . Tatizo katumia kanuni za calculus kukokotoa hesabu ndogo sana ya magazijutoMkuu hilo jibu mbona umelilazimisha sana?
wrong mkuu, ref MAGAZIJUTOSimu karibia zote hapo zitazingua...lakini ukweli ni kwamba Casio yupo sahihi. Maana kanuni ni kufungua mabano kwanza ambapo
6÷2(2+1)
Baada ya mabano kuna kuzidisha
6÷2x3
Ambapo linafuata kugawanya
6÷6=1
Sasa simu nyingi zinaanzia kugawanya halafu zinafungua mabano jibu linakuja 9.
kisandu tena! kwani alishamaliza kuimarisha chama-ACA?Ngoja mwalimu Deo Kisandu aje atoe jibu.
Kuwa na msimamo wewe hapo jibu ni moja; yaaniNakubaliana na wewe...nimevurugwa na kuvuruga kabisa....
MjumbeMkuu wewe ndio upo sahihi jibu ni moja usikubaliane na huyo kenge najua umempuuza tu,kuepuka kujibishana nae.
Sio simu, ni kikokotozi.Hiyo simu ya kulia inaonekana mbaya kweli sijui ya mwaka gani, du! Ina kioo utadhani kalikuleta.
Tehhhh tehhKuwa na msimamo wewe hapo jibu ni moja; yaani
6÷2(2+1)
Magazijuto inataka tuondoe mabano
6÷2(3)
Endelea kuondoa mabano [emoji13]
Itabaki 6÷6=1
Ukishaondoa mabano unaanza kugawa kwanza MA (MAbano) GA (GAwanya). Ukifuata mfumo huo lazima jibu lije 9Kuwa na msimamo wewe hapo jibu ni moja; yaani
6÷2(2+1)
Magazijuto inataka tuondoe mabano
6÷2(3)
Endelea kuondoa mabano [emoji13]
Itabaki 6÷6=1