Mzalendo wa ukweli
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 559
- 149
Kitu gani kinaifanya ipelekwe kwenye jokes?
Mjibuni alichouliza,kama hujui nyamaza tu.
Sio bure lazima utakuwa wema wa 2 unachojaribu kutetea hapo ni nini !
Anamiliki gari aina ya Opa, ana viduka vya nguo za china, amepanga nyumba sinza, alikuwa ana mmiliki miss tanzania Bi wema sepetu...wadau wengine endelea kumwaga utajiri wake. Teh teh
Hii ni nyumba ya mwamvita makamba amenunuwa kwa cash money kwa zaidi ya $ 950,000/= hii ni zaidi ya shilling Bilioni moja za Kitanzania, na bado huyu hayumo kwenye orodha ya Matajili wa Bongo halafu ndio mnatuletea upuuzi wa huyu sharo uharo?
Hapahapa kuna watu waliwahi kusema Diamond ana 22 tu lakini ni tajiri,
leo mtu kataka kujua huo utajiri mnamzodoa au kuna watu wa kujibiwa na kuzodolewa?
Kama huna jibu nyamaza tu,yeye anataka jibu la swali lake.
Hata kama anazo inatusaidia nini sisi?
Ndio Fally Ipupa sio Billionea na wala sio Millionea.
Filters
Filter by industry Filter by country Filter by U.S. state
Other Lists
- World's Most Powerful People
- Forbes 400 Richest Americans
- World's Leading Public Companies
- World's Most Powerful Women
Browse The List
Net Worth Calculated March 2011
Name [TH] Net Worth
[TH] AgeSource
[TH][h=3]Carlos Slim Helu & family[/h] 72 telecom Mexico [h=3]Bill Gates[/h] 56 Microsoft United States [h=3]Warren Buffett[/h] 81 Berkshire Hathaway United States [h=3]Bernard Arnault[/h] 62
[TH="class: active asc"] Rank [/TH]
[TD="class: rank"]1[/TD]
[TD="class: worth"]$74 B[/TD]
[TD="class: rank"]2[/TD]
[TD="class: worth"]$56 B[/TD]
[TD="class: rank"]3[/TD]
[TD="class: worth"]$50 B[/TD]
[TD="class: rank"]4[/TD]
[TD="class: worth"]$41 B[/TD]
Mbona mapovu hivyo, yote ni roho kukuuma au.... Maana unatumia nguvu kubwa mahali penyewe sipo yaani ukiulizwa mtu wenyewe Diamond, education std kayumba, occupation mkata viuno dah, tutafika kweli
Anamiliki gari aina ya Opa, ana viduka vya nguo za china, amepanga nyumba sinza, alikuwa ana mmiliki miss tanzania Bi wema sepetu...wadau wengine endelea kumwaga utajiri wake. Teh teh
Mods tunaomba muipeleke jokes maana inafit sana kule
Bilionair wapi. hakuna mtanzania ambaye anweza kuwa bilionea
mbona kwenye hii nyumba hata mwamvita mwenyewe alikuwepo, na walikuwepo na watu wengine wakiifanyia hii nyumba dua, inawezekana ikawa yake mana watu siku hizi wanajitahidi kujenga mijengo ni wew tu na hela yako.Naona na wewe umeingia mkenge wa mageziti ya udaku nilikuwa nakuona mjanja kumbe bado sana, hata waziri yoyote hawezi kuwa na nyumba hiyo..
Ngoja nikupe maujanja ebu angalia hizo picha za hiyo nyumba vizuri halafu utaniambia hayo ni mazingira ya wapi kama sio Marekani au Ulaya.
Unafanya mchezo na hiyo nyumba hata Manji, Tanir, Mkono, mukeshi JM, Said Bakharesa, Mengi, hawana nyumba ya hivyo.
Wewe mjanja stuka mambo ya fhotoshop hayo.
Kuna mwenye data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire