Nani ana data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire

Nani ana data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire

Status
Not open for further replies.
Billionnaire wapi ndugu yangu...kuwa na Tsh millioni 50 ktk account ya Bank ni billionnaire? Ni sawa na waandishi wetu wa habari wa hapa Bongo...utashangaa mtu kaigiza movie moja au mbili na bado hajanufaika na kazi yake ...utashangaa kesho kutwa anaitwa SUPER STAR. Nina wasiwasi kama tunaelewa vizuri maana halisi ya hili neno.
 
Kwa elimi yake
Upeo wake
Umri wake

he is doing good
kwa maisha bora kwa kila mtanzania
Mpatie picha at 35, kama atamaitain speed hii ya maendeleo??

Na ukitaka kujua he has something
Tuko bize hapa tunamjadili
Maskini labda yeye wala hata hajui kama huku kuna sred inayomhusu
 
acheni wevu mwnzenu mtoto wa kiume kawzidi maisha
 
Hii ni nyumba ya mwamvita makamba amenunuwa kwa cash money kwa zaidi ya $ 950,000/= hii ni zaidi ya shilling Bilioni moja za Kitanzania, na bado huyu hayumo kwenye orodha ya Matajili wa Bongo halafu ndio mnatuletea upuuzi wa huyu sharo uharo?
HaX44.jpg

Naona na wewe umeingia mkenge wa mageziti ya udaku nilikuwa nakuona mjanja kumbe bado sana, hata waziri yoyote hawezi kuwa na nyumba hiyo..

Ngoja nikupe maujanja ebu angalia hizo picha za hiyo nyumba vizuri halafu utaniambia hayo ni mazingira ya wapi kama sio Marekani au Ulaya.

Unafanya mchezo na hiyo nyumba hata Manji, Tanir, Mkono, mukeshi JM, Said Bakharesa, Mengi, hawana nyumba ya hivyo.

Wewe mjanja stuka mambo ya fhotoshop hayo.
 
Mwamvita Makamba katoa wapi hizo bilioni za kununua nyumba kama sio EPA ya Mzee Makamba?
 
Hapahapa kuna watu waliwahi kusema Diamond ana 22 tu lakini ni tajiri,
leo mtu kataka kujua huo utajiri mnamzodoa au kuna watu wa kujibiwa na kuzodolewa?
Kama huna jibu nyamaza tu,yeye anataka jibu la swali lake.

yaelekea huna ubongo
 
Hahahhahaa!!!!kwa huu uoga inaelekea kuna watu hata wakichukuliwa demu na diamond wataona ufahari...vijana wanarun town!bab kubwa!
 
Hata kama anazo inatusaidia nini sisi?

Changamoto kwa wabwetekaji iliwajue viuno nayo ajira siyo kukashfu kazi ya mtu ambayo haivunji maadili. Tujifunze kuapreciate
 
Ndio Fally Ipupa sio Billionea na wala sio Millionea.

Filters
Filter by industry Filter by country Filter by U.S. state
Other Lists



Browse The List
Net Worth Calculated March 2011
Name [TH] Net Worth
[TH] Age
Source
[TH]
carlos-slim-helu_50x50.jpg
[h=3]Carlos Slim Helu & family[/h]
72telecomMexico
bill-gates_50x50.jpg
[h=3]Bill Gates[/h]
56MicrosoftUnited States
warren-buffett_50x50.jpg
[h=3]Warren Buffett[/h]
81Berkshire HathawayUnited States
bernard-arnault_50x50.jpg
[h=3]Bernard Arnault[/h]
62

[TH="class: active asc"] Rank [/TH]

[TD="class: rank"]1[/TD]

[TD="class: worth"]$74 B[/TD]

[TD="class: rank"]2[/TD]

[TD="class: worth"]$56 B[/TD]

[TD="class: rank"]3[/TD]

[TD="class: worth"]$50 B[/TD]

[TD="class: rank"]4[/TD]

[TD="class: worth"]$41 B[/TD]


Mbona mapovu hivyo, yote ni roho kukuuma au.... Maana unatumia nguvu kubwa mahali penyewe sipo yaani ukiulizwa mtu wenyewe Diamond, education std kayumba, occupation mkata viuno dah, tutafika kweli
 
Anamiliki gari aina ya Opa, ana viduka vya nguo za china, amepanga nyumba sinza, alikuwa ana mmiliki miss tanzania Bi wema sepetu...wadau wengine endelea kumwaga utajiri wake. Teh teh

Hiyo ya red nimeikubali..
 
Naona na wewe umeingia mkenge wa mageziti ya udaku nilikuwa nakuona mjanja kumbe bado sana, hata waziri yoyote hawezi kuwa na nyumba hiyo..

Ngoja nikupe maujanja ebu angalia hizo picha za hiyo nyumba vizuri halafu utaniambia hayo ni mazingira ya wapi kama sio Marekani au Ulaya.

Unafanya mchezo na hiyo nyumba hata Manji, Tanir, Mkono, mukeshi JM, Said Bakharesa, Mengi, hawana nyumba ya hivyo.

Wewe mjanja stuka mambo ya fhotoshop hayo.
mbona kwenye hii nyumba hata mwamvita mwenyewe alikuwepo, na walikuwepo na watu wengine wakiifanyia hii nyumba dua, inawezekana ikawa yake mana watu siku hizi wanajitahidi kujenga mijengo ni wew tu na hela yako.
 
250M umepigia thamani ya viwanja kama vitano hivi vya 20M au?
Kwa wiki umepigia anaingiza 10M au..

Napiga mahesabu yangu sipati picha...

Wajua Opa kwa sasa is the cheapest car someone can buy?

Estimation zako umeziexaggerate...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom