Mzalendo wa ukweli
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 559
- 149
Billionnaire wapi ndugu yangu...kuwa na Tsh millioni 50 ktk account ya Bank ni billionnaire? Ni sawa na waandishi wetu wa habari wa hapa Bongo...utashangaa mtu kaigiza movie moja au mbili na bado hajanufaika na kazi yake ...utashangaa kesho kutwa anaitwa SUPER STAR. Nina wasiwasi kama tunaelewa vizuri maana halisi ya hili neno.