Nani ana data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire

Nani ana data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire

Status
Not open for further replies.
hizi milioni thelathini -hamsini zinaitwa billion?( 1,000 millions)??
 
Kuna mwenye data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire

Mtoa mada hata kama darasa huna lakini unahitaji kubidiisha akili kidogo. Hivi 1,000m unafikiri mchezo? Mambo mengine huitaji kuambiwa bali kujua. Huyu dogo hana hata miaka mitatu mbele atakuwa amefulia tayari kama hatakuwa amewekeza hivyo vijisent vyake uchawa.

Kifupi dogo ni mtu wa kawaida na hata kama 50m kafikisha ni kwa bahati sana kwenye akaunti yake.

Anapesa za kubadili mboga leo samaki kesho nyama keshokutwa kuku. au umetumwa uje utuchefue roho?
 
Sifa za kijinga!!
Vi thread vya kifacebook hivi havina hata afya.

Hapahapa kuna watu waliwahi kusema Diamond ana 22 tu lakini ni tajiri,
leo mtu kataka kujua huo utajiri mnamzodoa au kuna watu wa kujibiwa na kuzodolewa?
Kama huna jibu nyamaza tu,yeye anataka jibu la swali lake.
 
Diamond si billionare..Michael jackson mbona anakata kiuno na alikuwa billionare
 
Diomond kwa wiki anapiga show kama tatu hivi akiwa DSM na show kama nne hadi tano akiwa mikoani,
Show moja analipwa kuanzia laki8 kuendelea,
Anaalikwa kuimba kwenye sherehe mbali mbali kwa M moja karibu kila jumamosi kama yupo Dsm anaimba fasta kisha anakwenda kwenye show
Ana maduka mawili matatu ya nguo toka China
Anamiliki gari aina ya Toyota Opa
Anamiliki viwanja kadhaa nje ya mji lakini hajajenga mjengo bado
Anaishi Sinza nyumba ya kupanga
Estimation ya "utajiri" wake ni kama M250 hadi M300
 
Hapahapa kuna watu waliwahi kusema Diamond ana 22 tu lakini ni tajiri,
leo mtu kataka kujua huo utajiri mnamzodoa au kuna watu wa kujibiwa na kuzodolewa?
Kama huna jibu nyamaza tu,yeye anataka jibu la swali lake.
Jibu ni hili hapa, Diamond sio tajili, wala sio milionea, na wala sio Billionea.
Billionea hawezi kuwa na Gari ya Millioni 10 na kupanga nyumba sinza. hivi huyu angekuwa na nyumba kama ya Mwamvita Makamba si engekuwa tabu hapa mjini? kwa hiyo Mwamvita tumuitaje Tirionea?
 
Diomond kwa wiki anapiga show kama tatu hivi akiwa DSM na show kama nne hadi tano akiwa mikoani,
Show moja analipwa kuanzia laki8 kuendelea,
Anaalikwa kuimba kwenye sherehe mbali mbali kwa M moja karibu kila jumamosi kama yupo Dsm anaimba fasta kisha anakwenda kwenye show
Ana maduka mawili matatu ya nguo toka China
Anamiliki gari aina ya Toyota Opa
Anamiliki viwanja kadhaa nje ya mji lakini hajajenga mjengo bado
Anaishi Sinza nyumba ya kupanga
Estimation ya "utajiri" wake ni kama M250 hadi M300

Ndugu yangu uko taasisi ya THT!!??
Ebu tueleze bank statement ya huyo kijana na pale Dar es slaam stock exchange ana hisa ngapi? hivyo vitu ulivyoorodhesha hapo unaonesha upeo wako una walakini.
 
Hii ni nyumba ya mwamvita makamba amenunuwa kwa cash money kwa zaidi ya $ 950,000/= hii ni zaidi ya shilling Bilioni moja za Kitanzania, na bado huyu hayumo kwenye orodha ya Matajili wa Bongo halafu ndio mnatuletea upuuzi wa huyu sharo uharo?
HaX44.jpg
 
Labda kauza UNGA lknsi hutu tunyimbo twake ambato ukienda hapo Malawi tu au zambia au Congo hawazijui
 
hii ni nyumba ya mwamvita makamba amenunuwa kwa cash money kwa zaidi ya $ 950,000/= hii ni zaidi ya shilling bilioni moja za kitanzania, na bado huyu hayumo kwenye orodha ya matajili wa bongo halafu ndio mnatuletea upuuzi wa huyu sharo uharo?
hax44.jpg

dayyum!!!!
 
bilionea aneendesha opa?????? stop joking he is not even a millionaire!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom