Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwenye data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire
Sifa za kijinga!!
Vi thread vya kifacebook hivi havina hata afya.
Mods tunaomba muipeleke jokes maana inafit sana kule
Jibu ni hili hapa, Diamond sio tajili, wala sio milionea, na wala sio Billionea.Hapahapa kuna watu waliwahi kusema Diamond ana 22 tu lakini ni tajiri,
leo mtu kataka kujua huo utajiri mnamzodoa au kuna watu wa kujibiwa na kuzodolewa?
Kama huna jibu nyamaza tu,yeye anataka jibu la swali lake.
Diomond kwa wiki anapiga show kama tatu hivi akiwa DSM na show kama nne hadi tano akiwa mikoani,
Show moja analipwa kuanzia laki8 kuendelea,
Anaalikwa kuimba kwenye sherehe mbali mbali kwa M moja karibu kila jumamosi kama yupo Dsm anaimba fasta kisha anakwenda kwenye show
Ana maduka mawili matatu ya nguo toka China
Anamiliki gari aina ya Toyota Opa
Anamiliki viwanja kadhaa nje ya mji lakini hajajenga mjengo bado
Anaishi Sinza nyumba ya kupanga
Estimation ya "utajiri" wake ni kama M250 hadi M300
hii ni nyumba ya mwamvita makamba amenunuwa kwa cash money kwa zaidi ya $ 950,000/= hii ni zaidi ya shilling bilioni moja za kitanzania, na bado huyu hayumo kwenye orodha ya matajili wa bongo halafu ndio mnatuletea upuuzi wa huyu sharo uharo?
![]()
kaa kimya hivyo hivyo arifu...none of them.....dayyum!!!!