Nani ana data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire

Nani ana data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire

Status
Not open for further replies.
Naona na wewe umeingia mkenge wa mageziti ya udaku nilikuwa nakuona mjanja kumbe bado sana, hata waziri yoyote hawezi kuwa na nyumba hiyo..

Ngoja nikupe maujanja ebu angalia hizo picha za hiyo nyumba vizuri halafu utaniambia hayo ni mazingira ya wapi kama sio Marekani au Ulaya.

Unafanya mchezo na hiyo nyumba hata Manji, Tanir, Mkono, mukeshi JM, Said Bakharesa, Mengi, hawana nyumba ya hivyo.

Wewe mjanja stuka mambo ya fhotoshop hayo.

Wewe acha kudanganya watu hizo nyumba zipo hapa Dar ni apartments zipo mikocheni ya msasania tanesco ofc za kinondoni maeneo ya TMJ hospital kaka ukiingia njia ya vumbi ya kuelekea baharini msasani bonde la mpunga
 
dah kaka bilioni haijifichi ukiwa nayo, hata uifiche wapi itajionyesha tu, huwezi ukawa bilionaire ukawa unaendesha gari kama ile yake, anyway sijawahi kuiona ila nasikia ansukuma OPA
 
dah kaka bilioni haijifichi ukiwa nayo, hata uifiche wapi itajionyesha tu, huwezi ukawa bilionaire ukawa unaendesha gari kama ile yake, anyway sijawahi kuiona ila nasikia ansukuma OPA

Kuendesha gari ya aina fulani si kigezo cha utajiri wa mtu.
 
bilionare wa domo,
kwanza sura ,mbaya tu madsem wanataka vihela vyake tu na kuingia bure kwenye show
 
hivi hapa mnazungumzia Tshs 1,000,000,000+??.,kwa msanii wa bongo mtaishia kuota tu
 
Wewe acha kudanganya watu hizo nyumba zipo hapa Dar ni apartments zipo mikocheni ya msasania tanesco ofc za kinondoni maeneo ya TMJ hospital kaka ukiingia njia ya vumbi ya kuelekea baharini msasani bonde la mpunga

Wewe kama hujui kitu kaa kimya kwa hiyo hizo nyumba za pale msasani Tanesco (Dar Villa) ni za mtoto wa Makamba?
 
Baada ya kusoma hii thread nimegundua watu wengi humu nilidhani wajanja au wanajua haya mambo jinsi yanavyoenda kumbe hamna lolote. Hiyo nyumba haiko bongo mbona picha tu hiyo inaonekana ila watu bado hawashituki, mazingira ya bongo hayuko hivyo kabisa hamna sehemu hata moja iko hivyo bongo... Diamond hawezi kua billionare usanii bado bongo haulpi kihivyo ni umaarufu tu amepata sio pesa kihivyo.. Hamna mbongo mwenye over billion usd kama yupo angekua on tracked na angeappear on the money list na Interpol inafuatilia sana usd billionares wote duniani.
 
Huu ndio utajiri wa Diamond:-
1. Chale 12'000'000/=
2. Vibuyu vyenye dawa 106'000.
3. Tunguri viroba sabini.
4. Chup* nne za batiki
5. Gunia moja la mikuyati
Khaaa!......bujiiii?? Lol!
 
bilionare wa domo,
kwanza sura ,mbaya tu madsem wanataka vihela vyake tu na kuingia bure kwenye show

Sio vizur kumkebeh mwenzio namna hii "sura mbaya, domo, vihela.... Hakuna binadam alie mkamilifu. Wote tumeumbwa na Mungu mmoja
 
Kwa mujibu wa wataalamu ni kwamba, milionaire ni mtu anaye worth kuanzia $1 million kwenda juu na billionaire ni yule mwenye mali zinazoworth $1 billion kwenda juu. Sasa yeye yuko wapi hapo?
 
dogo atakuwa millionare lakini sidhani kama ni billionare, billionare si mchezo
 
Naona na wewe umeingia mkenge wa mageziti ya udaku nilikuwa nakuona mjanja kumbe bado sana, hata waziri yoyote hawezi kuwa na nyumba hiyo..

Ngoja nikupe maujanja ebu angalia hizo picha za hiyo nyumba vizuri halafu utaniambia hayo ni mazingira ya wapi kama sio Marekani au Ulaya.

Unafanya mchezo na hiyo nyumba hata Manji, Tanir, Mkono, mukeshi JM, Said Bakharesa, Mengi, hawana nyumba ya hivyo.

Wewe mjanja stuka mambo ya fhotoshop hayo.

RITZ hebu sema kweli. Sisi wengine sio wataalamu sana wa photoshop... hebu funguka, hiki kiinimacho cha Mwami kikoje?
Ina maana hiyo nyumba sio real?
Si unajua tena wengine tupo Gambushi.
 
Bilionair wapi. hakuna mtanzania ambaye anweza kuwa bilionea

Billionare interms of tshs, au USD. Kama tshs basi tanzania mabillionare wengi tu, kama ni USD wapo lakini wachache mmoja waapo ni yule mkuu wa jeshi ambaye inasemekana akaunti yake ya bank ina tillion 3 za kitz ukizi convert into dollars zinakuwa billion dollars, hapo hujaweka akina bakhresa, yusuph manji na wengneo kama akina fisadi flani na flani. Kwa upande wa diamond hapa tshs billionare bado, ila hundred millions atakuwa nazo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom