Naona na wewe umeingia mkenge wa mageziti ya udaku nilikuwa nakuona mjanja kumbe bado sana, hata waziri yoyote hawezi kuwa na nyumba hiyo..
Ngoja nikupe maujanja ebu angalia hizo picha za hiyo nyumba vizuri halafu utaniambia hayo ni mazingira ya wapi kama sio Marekani au Ulaya.
Unafanya mchezo na hiyo nyumba hata Manji, Tanir, Mkono, mukeshi JM, Said Bakharesa, Mengi, hawana nyumba ya hivyo.
Wewe mjanja stuka mambo ya fhotoshop hayo.
Wewe acha kudanganya watu hizo nyumba zipo hapa Dar ni apartments zipo mikocheni ya msasania tanesco ofc za kinondoni maeneo ya TMJ hospital kaka ukiingia njia ya vumbi ya kuelekea baharini msasani bonde la mpunga