Nani ana gharama zaidi? Fast jet ni shs 334,000-466,000 na Airtanzania ni shs 324,000- 664,000 kwenda Mwanza na kurudi

Nani ana gharama zaidi? Fast jet ni shs 334,000-466,000 na Airtanzania ni shs 324,000- 664,000 kwenda Mwanza na kurudi

Utanyooka tu!! Ulisema hatuwezi kununua Boeing 787-8 Dreamliner imekuja sasa unahangaika na nauli huwezi panda punda!!
Wewe unayesumbua watu inawezekana hata kodi hulipi
 
Wewe muda wote upo JF kazi hufanyi umekalia majungu!! Utapata wapi pesa ya kupanda Dreamliner??!!
Wewe kazi yako ya kuchoma mihogo hapo posta nilini utaweza kupata nauli ya kupanda ndege?
 
Niliangalia taarifa ya habari ITV usiku ule wa tukio basi nikaangalia jinsi wale wanakijiji walivyokuwa wanashangilia nikabaki kusema "hiihiihihii"!

Hata baadhi yao pale nadhani ukiwaambia waandike kwa usahihi kwa tarakimu hiyo nauli hawajui ina sifuri ngapi.

Tuna safari ndefu sana.
Hiiiiii hiiiii
 
Wewe mbumbumbu wa uchumi yaani hata hao unaowaita wanakijiji wanakuzidi kufikiri kibiashara. Hujui kuwa ndege hizo zitaongeza uchumi wa nchi kupitia utalii pia ujuwe ndege hiyo itaongeza image ya nchi kidunia..!! Au unapinga tu kila kitu.
Utaishia kusifia lkn kuipanda no
 
Hizo air tz hata bule sipandi ndege za kivita tunawaachia akina rambo
 
Kwasasa ukiongea kitu negative chochote kuhusu DRIMULAINA utaambiwa wewe ni mpinga maendeleo.
 
Eti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.

Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.
Bavicha mmechanganywa kabisa Na ujio wa Dremaliner
 
Subiri hukumbuki ulisema hatutaweza nunua Dreamliner imekuja sasa umebadirisha magoli?? Subiri sisi tunachapa kazi tu.
Juhudi zote hizi unazozifanya hata ukatibu kata umenyimwa ?
 
Hakuna kitu kinachowatesa bavicha ka dreamliner!!HUKU NDIO KUPATA TABU kwenyewe.
 
Eti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.

Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.
Hiyo booking yenye sh 664,000.00 mbona hionyeshi jina la airline kama hapo inapoonekana Fast Jet, halafu detail zake chache!
 
Eti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.

Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.

Kwa akili ya kawaida tu sidhani kama kulikuwa na umuhimu wa kuwa na ndege nne zinahudumia humu ndani,kimataifa hatuwezi kupata wateja maana roho za watu hazifanyiwi majaribio hasa wazungu kukubali kupanda ndege ya majaribio syo rahisi.
 
Hakuna kitu kinachowatesa bavicha ka dreamliner!!HUKU NDIO KUPATA TABU kwenyewe.
Hakuna wa kuteseka hata kidogo mtapoanxa kusema ooh katuingiza chaka nasi tunashikilia ufisadi ununuzi wake
 
Soko la tiketi za ndege liko tofauti sana, sio fixed. Ungeweka na tarehe kabisa ya fastjet ungekuwa umeonesha cha maana. Ndani ya mwezi mmoja, hao hao fastjet wanaweza badilika. Yategemeana na umekata lini na unategemea kurudi lini ma hiyo tiketi yako.
Weka tarehe za ndege zote mbili kwa tarehe moja ya kuondoka na kurudi ma siku uliyokata hiyo tiketi.
See attachment
 
Attachments

Air Tanzania tutajieni NAULI!

Msitutajie NAULI ELEKEZI!

Nyinyi ndio serikali, huduma mnauza nyinyi, nauli elekezi mnamuelekeza nani?
 
Back
Top Bottom