RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mkuu nauli za ndege zinategemea unasafiri lini na hii sio kwa ATCL tu ni utaratibu wa usafiri wa anga. Ukitaka kusafiri leo ukanunua tiketi leo sio sawa na anaesafiri mwezi ujao akakata tiketi leo.Air Tanzania tutajieni NAULI!
Msitutajie NAULI ELEKEZI!
Nyinyi ndio serikali, huduma mnauza nyinyi, nauli elekezi mnamuelekeza nani?
Bei elekezi sio kitu cha ajabu kwasababu huduma inatofautiana. Hivi Fastjet ina classes(first,business,economy)?