Tutashusha bei maana tunawezaKwa Ndani sawa, lakini kwa nje na hiyo 787 mtaweza kumtimua mtu ili awaachie ruti?
Kanunue miwanisawa ila jitahidi kuwa muwz shekhe sijaona ktik hizo tiketi palipoandikwa mikoa hiyo ili tuamini kuwa hizo ndio ghrama halisi,pia hujatuwekea za atcl
Huyo inawezekana hata ndege yenyewe hajawahi kuipandaAchana na matangazo uchwar ingia fanya booking uwelewe acha kujipambanua na ujinga wako
Wewe unayesumbua watu inawezekana hata kodi hulipiUtanyooka tu!! Ulisema hatuwezi kununua Boeing 787-8 Dreamliner imekuja sasa unahangaika na nauli huwezi panda punda!!
Wewe kazi yako ya kuchoma mihogo hapo posta nilini utaweza kupata nauli ya kupanda ndege?Wewe muda wote upo JF kazi hufanyi umekalia majungu!! Utapata wapi pesa ya kupanda Dreamliner??!!
Hiiiiii hiiiiiNiliangalia taarifa ya habari ITV usiku ule wa tukio basi nikaangalia jinsi wale wanakijiji walivyokuwa wanashangilia nikabaki kusema "hiihiihihii"!
Hata baadhi yao pale nadhani ukiwaambia waandike kwa usahihi kwa tarakimu hiyo nauli hawajui ina sifuri ngapi.
Tuna safari ndefu sana.
Utaishia kusifia lkn kuipanda noWewe mbumbumbu wa uchumi yaani hata hao unaowaita wanakijiji wanakuzidi kufikiri kibiashara. Hujui kuwa ndege hizo zitaongeza uchumi wa nchi kupitia utalii pia ujuwe ndege hiyo itaongeza image ya nchi kidunia..!! Au unapinga tu kila kitu.
Bavicha mmechanganywa kabisa Na ujio wa DremalinerEti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.
Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.
Waliochanganyikiwa ni wale waliokusanyika pale air....pot.Bavicha mmechanganywa kabisa Na ujio wa Dremaliner
Juhudi zote hizi unazozifanya hata ukatibu kata umenyimwa ?Subiri hukumbuki ulisema hatutaweza nunua Dreamliner imekuja sasa umebadirisha magoli?? Subiri sisi tunachapa kazi tu.
Basi nyie mnawewesekaWaliochanganyikiwa ni wale waliokusanyika pale air....pot.
Hiyo booking yenye sh 664,000.00 mbona hionyeshi jina la airline kama hapo inapoonekana Fast Jet, halafu detail zake chache!Eti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.
Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.
Eti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.
Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.
Hakuna wa kuteseka hata kidogo mtapoanxa kusema ooh katuingiza chaka nasi tunashikilia ufisadi ununuzi wakeHakuna kitu kinachowatesa bavicha ka dreamliner!!HUKU NDIO KUPATA TABU kwenyewe.
Nimejaribu kufanya booking ya tarehe 13 ijumaa nikalinganisha ATCL (232,000) na Fast jet (281,000) one way zote, DAR-MZA (See attachment)Achana na matangazo uchwar ingia fanya booking uwelewe acha kujipambanua na ujinga wako
See attachmentSoko la tiketi za ndege liko tofauti sana, sio fixed. Ungeweka na tarehe kabisa ya fastjet ungekuwa umeonesha cha maana. Ndani ya mwezi mmoja, hao hao fastjet wanaweza badilika. Yategemeana na umekata lini na unategemea kurudi lini ma hiyo tiketi yako.
Weka tarehe za ndege zote mbili kwa tarehe moja ya kuondoka na kurudi ma siku uliyokata hiyo tiketi.