Mkuu nauli za ndege zinategemea unasafiri lini na hii sio kwa ATCL tu ni utaratibu wa usafiri wa anga. Ukitaka kusafiri leo ukanunua tiketi leo sio sawa na anaesafiri mwezi ujao akakata tiketi leo.Air Tanzania tutajieni NAULI!
Msitutajie NAULI ELEKEZI!
Nyinyi ndio serikali, huduma mnauza nyinyi, nauli elekezi mnamuelekeza nani?
Walalahoi Huwa hawapandi ndege wewe acha uzushi.Eti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.
Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.
Nauli inategemea factors nyingi sio kama daladala kuna low Na high season , exchange rate variation nk huwezi weka fixed specificAir Tanzania tutajieni NAULI!
Msitutajie NAULI ELEKEZI!
Nyinyi ndio serikali, huduma mnauza nyinyi, nauli elekezi mnamuelekeza nani?
Bichwa kubwa akili tope.Na wew uko wapi hapa.Huwez kujua mtu anashinda JF bila kuwa humu.Acha ujingaWewe muda wote upo JF kazi hufanyi umekalia majungu!! Utapata wapi pesa ya kupanda Dreamliner??!!
Labda bombadyeeHapo kwenye Air Tanzania unamzungumzia Dreamliner au wadogo zake Bombadear
Nina kazi yangu nilikataa kuajiriwa muda mrefu!Juhudi zote hizi unazozifanya hata ukatibu kata umenyimwa ?
mmhh... Kaaazi kweli kweli!View attachment 807470 View attachment 807469
Hizo bei ni tiketi za (booking) ya mwezi august kati ya august 31 na sept 7 2018 muone nani anamsaidia mnyonge
View attachment 807467 View attachment 807465 ...
Mkuu kwa bei hizo tutatengeneza faida kweli? Ningeshauri Dreamliner ingeanza na route ya DAR - BEIJING AU SHANGHAI AU GUANDZOU moja kwa moja angalau mara tatu kwa wiki. Ile ya BEIJING-DAR ipitie KIA. Tukishajikita hivyo tununue ya pili ili tuwe na Daily flghts. Kupeleka Dreamliner Mwanza ni hasara. Embraer ingekuwa kidogo afadhali! Ni maoni yangu tu!fanyeni utafiti kabla ya kusemaView attachment 807476
hivi wale wadogo zake ni wa kike au wakiume?Hapo kwenye Air Tanzania unamzungumzia Dreamliner au wadogo zake Bombadear
Bei ikishushwa pia watakuja na misemo kampuni inaendeshwa kwa hasara.Tutashusha bei maana tunaweza
Kibiashara hasara bado inakuwa ni hasara tu hakuna neno la kui divert hivyo hapo hatuhitaji kuwa na neno watasemaBei ikishushwa pia watakuja na misemo kampuni inaendeshwa kwa hasara.
Kibiashara hasara bado inakuwa ni hasara tu hakuna neno la kui divert hivyo hapo hatuhitaji kuwa na neno watasemaBei ikishushwa pia watakuja na misemo kampuni inaendeshwa kwa hasara.
Nahisi ni wa kiume maana zinaitwa (mapanga-boy)hivi wale wadogo zake ni wa kike au wakiume?
Bei ikishushwa pia watakuja na misemo kampuni inaendeshwa kwa hasara.
Kasemaje?Nmemwelewa leo pilot alo ileta dreamliner 787 kasema mengi clouds kwenye kipindi cha 360 asbuhi