KijanaHuru JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 1,822 Reaction score 2,320 Sep 22, 2018 #1 Mwonekano wao kwa baadhi ya watu ni kama huu hapa chini
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,211 Reaction score 12,538 Sep 22, 2018 #2 wanamatumbo makubwa wote....wamekosea tu kumwacha mshika dau nje
Sauda JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 860 Reaction score 1,106 Sep 22, 2018 #3 Habari zao anazo mpiga picha!
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,171 Reaction score 34,394 Sep 22, 2018 #4 Hayo matumbo
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Sep 22, 2018 #5 Hatari
Chiwa JF-Expert Member Joined Apr 17, 2008 Posts 4,116 Reaction score 4,979 Sep 22, 2018 #6 ghafla nimeangalia hili tumbo ninalopambana nalo kulibomoa
Antonio de Guzman JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 7,090 Reaction score 13,511 Sep 22, 2018 #7 Matumbo kama mafurushi ya nguo. Ebu tupia na za jinsia pendwa
911sep11 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,461 Reaction score 4,272 Sep 22, 2018 #8 nakumbuka enzi hizo wakati bado tupo bustani ya edeni mimi na washkaj zangu tulikua kama hivyo
K kichwa mbovu JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 706 Reaction score 504 Sep 22, 2018 #9 Norshad said: wanamatumbo makubwa wote....wamekosea tu kumwacha mshika dau nje Click to expand... Hahaaaaa nilitaka kusema hivyo hivyo ila vidushe viduchu
Norshad said: wanamatumbo makubwa wote....wamekosea tu kumwacha mshika dau nje Click to expand... Hahaaaaa nilitaka kusema hivyo hivyo ila vidushe viduchu
successor JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 3,083 Reaction score 6,139 Sep 22, 2018 #10 Hili kabila lipo Tanzania?
J jabulani JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 5,547 Reaction score 11,704 Sep 22, 2018 #11 Matumbo yamejaa nyama za watu.
Mchizi JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 2,886 Reaction score 7,000 Sep 22, 2018 #12 Hivi huwa wanaoga hawa?
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,211 Reaction score 12,538 Sep 22, 2018 #13 mbona wengine kama wajawazito? hawabanduani hawa?
Crumpy Crumper JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,348 Reaction score 3,305 Sep 22, 2018 #14 Mikono ya sweta kama yootee..
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Sep 22, 2018 #15 Msisimko unakuja mtu akivua nguo sasa hapo kuna msisimko gani?
tremendous JF-Expert Member Joined Aug 12, 2016 Posts 3,237 Reaction score 5,315 Sep 22, 2018 #16 Aisee hayo matumbo utadhani wamemeza ngoma duh! Hivyo vidushee sasa mmh.
Dindira JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 2,912 Reaction score 3,466 Sep 22, 2018 #17 Hujaweka picha ya KE tuone shanga zao
usatrumpjr JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 2,237 Reaction score 2,898 Sep 22, 2018 #18 Mchizi said: Hivi huwa wanaoga hawa? Click to expand... Kuoga anasa
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Sep 22, 2018 #19 Wanapatikana wapi hawa??
usatrumpjr JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 2,237 Reaction score 2,898 Sep 22, 2018 #20 Sema wanamaisha mazuri uko vyuma havijakaza tumbo km mfanyakazi wa kitengo TRA