Nani ana habari za kabila hili la watembea uchi

Nani ana habari za kabila hili la watembea uchi

1. Kuvaa nguo ni matokeo ya dhambi

2. Adam na Eva walijiona wako uchi tuu baada ya kutenda dhambi,hivyo kama hutendi dhambi nguo haina maana yoyote kwako

3. Ona Ndege wenye rangi nzuuri kama tausi,chiriku, ona pundamlia,twiga, mbwa na paka hasa hasa vikizaliwa vikiwa vidogo vinavyovutia wote wale wapo uchi lakini hatujawahi kufikiri kama wapo uchi na tunatamani hata tuwashike, wale hawatendi dhambi na ndio neema ya kukikingwa dhambi ya asili ambayo Babu zetu Adam na Eva waliitenda

4. Wamasai, watindiga na wabarbaigi hawavai nguo lakini wanaishi kwa amani

5. Asili ya waafrika wote walikuwa hawavai nguo na hizi nguo zimeletwa kama tamaduni za waarabu na wazungu waliokuja na dini na kutulazimisha tubebe dini pamoja na mila na desturi zao

6. Huwa ninapinga vikali baadhi ya watu kwa imani zao walizolishwa na wakoloni kuwalazimisha watu wengine wavae watakavyo wao bila kujali yule mtu ana imani tofauti na yeye.
Point mkuu wangu
 
kama sijakose hawa wanapaitaka maneo ya huko afrika magaribi nimsahau nimsahau kidogo jina la kijiji wanachotoka
 
Siwezi kiweka uzi wake ila unaweza ku search google andika hivi (ethiopian bodi tribe) .
 
Ke
images.jpeg
 
Back
Top Bottom