Nani ana habari za kabila hili la watembea uchi

Nani ana habari za kabila hili la watembea uchi

Psychology yako haiko powa mkuu una matatizo makubwa mno
Wewe elimu yako haiko poa unahitaji msaada hata wa kusoma QT uelewa historia..
Mimi naongea kitu real bila unafiki wala kupepesa macho..

Hata simu unayoitumia hapo bila wao ungekuwa unatuma njiwa ali afikishe ujumbe
 
Kitu gani kinakufanya uamininkuwa hii historia ni ya kweli?
 
LEO NDIO NIMEJUA KUWA BINADAM NDIO KIUMBE KINACHOTISHA AKIWA UCHI....NGUO ZINATUSITIR SANA
 
Kitu gani kinakufanya uamininkuwa hii historia ni ya kweli?
Miaka niliyozaliwa tu kabla teknolojia haijakuwa nimeona watu vijijini wanavaa nini kwahio mimi naongea kitu nilichokiona....
Kuna picha zimepigwa wakati wamissionari wanafika, ukiangalia utaona tulikuwa tumevaa nini.

Kubali ukatae lakini bila wazungu tungekuwa kwenye magome ya mitu na majani ya migomba
 
Hili kabila linaitwa BODI linapatikana nchi ya Ethiopia,wanajulikana sana kwa kuwa na matumbo makubwa,unywaji wa damu iliyochanganya na maziwa pamoja na nyama ya mafuta ya ngombe ndio inawafanya wawe hivyo
Hiyo ya unywaji damu ilochanganywa na maziwa mtindi umenikumbusha kipindi nilipata jando nilikunywa sana huo mchanganyiko
 
Back
Top Bottom