Nani ana habari za kabila hili la watembea uchi

Nani ana habari za kabila hili la watembea uchi

Msisimko unakuta mtu akivua nguo sasa hapo kuna msisimko gani?
Ni kabila la Bodi huko Ethiopia
Yaani kunenepa ni heshima na sifa kubwa sana
20180922_100712.jpeg
 
Hayo matumbo makubwa ni kwa ajili ya mashindano. Vijana wanaopenda huingia kambini kwa miezi sita huku wakila damu iliyochanganywa na maziwa. Ktk kipindi hicho Cha miezi sita hakuna kugegeda, baada ya miezi sita sherehe hufanyika kuchagua mshindi mwenye tumbo kubwa zaidi. Baada ya sherehe, washiriki hurejea ktk mili yao ya awali baada ya wiki chache na mshindi huenziwa maisha yake yote
 
Mhhhh hapana aiseee so kwa mila hizi piga picha mara papuuu mtaani kwenu ndo mnaish hivi
 
1. Kuvaa nguo ni matokeo ya dhambi

2. Adam na Eva walijiona wako uchi tuu baada ya kutenda dhambi,hivyo kama hutendi dhambi nguo haina maana yoyote kwako

3. Ona Ndege wenye rangi nzuuri kama tausi,chiriku, ona pundamlia,twiga, mbwa na paka hasa hasa vikizaliwa vikiwa vidogo vinavyovutia wote wale wapo uchi lakini hatujawahi kufikiri kama wapo uchi na tunatamani hata tuwashike, wale hawatendi dhambi na ndio neema ya kukikingwa dhambi ya asili ambayo Babu zetu Adam na Eva waliitenda

4. Wamasai, watindiga na wabarbaigi hawavai nguo lakini wanaishi kwa amani

5. Asili ya waafrika wote walikuwa hawavai nguo na hizi nguo zimeletwa kama tamaduni za waarabu na wazungu waliokuja na dini na kutulazimisha tubebe dini pamoja na mila na desturi zao

6. Huwa ninapinga vikali baadhi ya watu kwa imani zao walizolishwa na wakoloni kuwalazimisha watu wengine wavae watakavyo wao bila kujali yule mtu ana imani tofauti na yeye.
 
Back
Top Bottom