Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Katika pita pita zangu kutafuta ajira huko LinkedIn, nimekutana na hili shirika limeweka job post, kwenye Tangazo wameandika kazi itafanyika kapiti-singida lakini nilipoenda kwenye website yao wameandika ni New Zealand
Nafasi ya kazi ni Mental Health Support Worker - Paraparaumu, Kapati Coast(24940) position. Nimejaza nafasi zote kwenye recruitment system yao na wameweka document ya kueleza majukumu ya mental Health support worker
Sasa swali langu kwenu ni Nani anafahamu vizuri hili shirika ? Je Wana ofisi hapa Tanzania ?, Nimesoma mtandaoni wameandika kuhusu shirika lakini nataka kupata chochote hapa
NB
Wanasema wanalipa USD 20.77 per hour