Nani Ana ufahamu na IHC GROUP ?

Nani Ana ufahamu na IHC GROUP ?

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,774
Reaction score
47,866
Katika pita pita zangu kutafuta ajira huko LinkedIn, nimekutana na hili shirika limeweka job post, kwenye Tangazo wameandika kazi itafanyika kapiti-singida lakini nilipoenda kwenye website yao wameandika ni New Zealand

Nafasi ya kazi ni Mental Health Support Worker - Paraparaumu, Kapati Coast(24940) position. Nimejaza nafasi zote kwenye recruitment system yao na wameweka document ya kueleza majukumu ya mental Health support worker

Sasa swali langu kwenu ni Nani anafahamu vizuri hili shirika ? Je Wana ofisi hapa Tanzania ?, Nimesoma mtandaoni wameandika kuhusu shirika lakini nataka kupata chochote hapa

NB
Wanasema wanalipa USD 20.77 per hour
Screenshot_20230717-113013.png
Screenshot_20230717-113020.png
Screenshot_20230717-113027.png
Screenshot_20230717-113034.png
Screenshot_20230717-113111.png
 
Kiranga unaweza kuwa unafahamu chochote kuhusu hili shirika au mashirika Kama haya ambayo vijana wa Tz tunaweza kwenda kufanya kazi nje ?
 
Moderator nisaidieni kuhamishia Uzi jukwaa lingine ,mfano, hoja mchanganiko,naona hapa hakuna wachangiaji
 
Back
Top Bottom