MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Hili jina lina utukufu fulani hivi na vyote vinavyotajwa na jina hili ni vitu muhimu kabisa na vina impact kubwa.
Haya twende kazi"
Tanganyika Law Society (hawa watu mziki wao mnaujua);
International School of Tanganyika (hii shule iko proper sana);
Tanganyika packers (yuko Mwamposa pale anakimbiza mapepo vibaya sana);
Tanganyika Arms Ltd (wanatuuzia viondolea uhai);
Sijaandika kitu ila najua unataka kusema nini