Nani anachoma moto masoko na vibanda vya wafanyabiashara?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ?

Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ?

tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
 
Acha waandae wahalifu wa kutosha na hawataweza wadhibiti,usishangae vyombo vya usalama vikaungana na wachomewa vibanda
 
Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ?

Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ?

tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
Mwenge kwa mujibu wa Rpc Kinondoni ni Shoti ya umeme
 
Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ?

Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ?

tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
Magaidi badala ya kuchoma vituo vya mafuta sasa wameapa kuchoma masoko.
 
Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ?

Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ?

tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
wafuasi wa mboe lazima wachunguzwe.
jeshi la polisi lianze kwanza na hao wafuasi wa mboe.
Sisi Raia wema tutoe taarifa mara tunapoona kuna viashiria vya kihalifu.
mboe alikuwa anawatumia sana vijana kufanya vitendo vya kihalifu.

mboe alisha pandikiza chembe chembe za kihalifu kwa wafuasi wake, hivyo wafuasi wake ni watu hatari sana, wanapaswa kufuatiliwa nyenendo zao hadi chooni.
 
Kula gadi. Usiku usitoke. Jifunike blanketi wasikuone, umuone mbaya wako?
 
Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ?

Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ?

tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
Sirikali sana hii lakini iliyofichwa kwenye jumba la vioo tupu halafu sio tinted [emoji23]
 
Serikali inauzi sana mbowe anaonewa chinga wanafirisiwa maji hakuna umeme kumebaki sifa tu. Ngoja wachomewe zaidi.
 
wafuasi wa mboe lazima wachunguzwe.
jeshi la polisi lianze kwanza na hao wafuasi wa mboe.
Sisi Raia wema tutoe taarifa mara tunapoona kuna viashiria vya kihalifu.
mboe alikuwa anawatumia sana vijana kufanya vitendo vya kihalifu.

mboe alisha pandikiza chembe chembe za kihalifu kwa wafuasi wake, hivyo wafuasi wake ni watu hatari sana, wanapaswa kufuatiliwa nyenendo zao hadi chooni.
 
Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ?

Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ?

tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
Duh! Serikali ya MAMA inakera zaidi ya ile serikali ya Marehemu MAGU. Ndio maana hata viongozi wa mtaa wakiitisha mkutano wao wa hadhara huwa naona Bora niendelee tu kulala, Hasa nikikumbuka kuwa WALIPITA BILA KUPINGWA yaani kwa HONGO KALI.
 
Back
Top Bottom