Nani anaehusika kuharibu uzi wangu nikiwananga waKenya ?

Yusufu R H Sabura

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2020
Posts
796
Reaction score
918
Leo jioni niliandika mada kuhusu walimu wa kikenya walivyokuwa wanakunywa nyuka mabel mstarini, lakini cha ajabu naona sijui ni wakenya wameingilia kati ? uzi ume editiwa yaani ili uonekane laini kama uji wa maziwa.

Nilichokiandika hapa ni kweli na ni kweli tupu, hakuna haja ya kupepesa walikuwa wanatufinya na kalamu mapajani, wanahakikisha unamwaga chozi mtoto wa darasa la kwanza, majuha wale, kifinyo cha upaja tena kwa kutumia kalamu kinauma asikwambie mtu.

Anaejaribu kupakapaka rangi hili suala la wakenya hebu atulie, hili niachieni mimi na wakenya nitamalizana nao.

Kama wewe sio mkenya usichangie mada.
 
Hata:

Screenshot_20250306-183123_1.jpg

nao hutaki wachangie?
 
Wakenya! Kiingereza sio akili. Juzi Tz imepata nafasi ya kuongoza shirika la Afya duniani kanda ya Africa, kama mna akili ni kwa nini msipewe hiyo kazi?
 
Back
Top Bottom