Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,450
- 600
Nani anafaa kushinda Epiq Bongo Star Search 2012?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mwenye gitaa na rasta anaitwa nani? Huyo ndio anafaa!!
Majaji wanaangalia kipaji na sio nani anasomea wapi.sina hakika wanafuata vigezo gani katika kuchagua hadi kufikia kupigiwa kura na wananchi, ila kama I was one of judges, wale wadada wawili Nsami na dada yake ningewatoa baru mapema.
Kama madam Ritha amelenga kusaidia waimbaji wasio na uwezo, basi wale hawastahili kwa sababu tayari ni wanafunzi wa sanaa bagamoyo. sasa unamsaidiaje mtu ambaye tayari anafanya kile ambacho ungemsaidia.
chaguo langu mimi ni Salma na walter. Nimewapigia kura za kutosha, naomba mungu mmoja wao ashinde.
hapo sioni m2 mwenye kujua mziki kwa mfano mchukuwe mshindi wa hapo alafu umpeleke tasker projet uone atafika wapi kama si wa mwisho basi wa mwisho wa pili