Nani anafaa kushinda Epiq Bongo Star Search 2012?

Yule mwenye gitaa na rasta anaitwa nani? Huyo ndio anafaa!!
 
salma yusuf anastahili 50mil na inshaallah atafika mbali.mziki kipaji chake,kazi yake na anaendana nayo.
 
Salma is cool au Walter.. Wanauweza music na watang'aa..Kina Nsami wanaweza but too much!
Wababa hmmm..not sustainable.
 
Mnapiga kura lakini? au blah blah as usual
 
sina hakika wanafuata vigezo gani katika kuchagua hadi kufikia kupigiwa kura na wananchi, ila kama I was one of judges, wale wadada wawili Nsami na dada yake ningewatoa baru mapema.
Kama madam Ritha amelenga kusaidia waimbaji wasio na uwezo, basi wale hawastahili kwa sababu tayari ni wanafunzi wa sanaa bagamoyo. sasa unamsaidiaje mtu ambaye tayari anafanya kile ambacho ungemsaidia.
chaguo langu mimi ni Salma na walter. Nimewapigia kura za kutosha, naomba mungu mmoja wao ashinde.
 
Majaji wanaangalia kipaji na sio nani anasomea wapi.
Nsami na dada yake wana talent.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hapo sioni m2 mwenye kujua mziki kwa mfano mchukuwe mshindi wa hapo alafu umpeleke tasker projet uone atafika wapi kama si wa mwisho basi wa mwisho wa pili
 
mbona
peter
msechu
alifanikiwa
tasker
project
fame?wakali
wapo
especialy
walter.
 
Back
Top Bottom