Nani anafaa kuwa man of the match kwenye game ya leo kati ya Tanzania na Uganda?

Msuva nae yupo vizuri anatendea haki nafasi yake ya kuchezea kilabu chake cha kulipwa
 
aliyesema bia zitakuwa nusu bei after victory
 
aliyesema bia zitakuwa nusu bei after victory
Kesho ofisi zitanuka biere na vyoo wafanya usafi watakomaa. Na hang over kazi hazitaenda kabisa
 
Mechi ya Leo Hamna cha man of the match mpira umechezwa wa kawaida
Man of the match yupo cape Verde [emoji1065][emoji1065] huko

Sichenji buku kwa njaa ya siku moja
Nani sasa huko?
 
Mechi ya Leo Hamna cha man of the match mpira umechezwa wa kawaida
Man of the match yupo cape Verde [emoji1065][emoji1065] huko

Sichenji buku kwa njaa ya siku moja
Kwa hyo leo huchenji buku kwa bia za siku moja?? hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…