Pre GE2025 Nani anafaa kuwa mbunge wa Kigamboni baada ya kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Serious??? Unawaza haya? Muwe mnafikiria hata kama mtu katangulia. Ana familia, ndugu, jamaa na marafiki anaowaacha. Mbona mapema sana. Na umechukua, maoni ya watu wote Kigamboni? Wengine hatutaki. Halafu acha utoto, hii siyo sifa acha watu wazike kwanza.
 
ccm hawanaga utu ni akina mane monga, wachawi na wanafiki
 
Makonda njia nyeupeeee.Kweli nimeamini kila jambo na wakati wake.
Ukweli wengi hamjui kinachoendelea, Ndugulile alishaachana na maccm toka alipochaguliwa kuwa mkurugenzi wa WHO Kanda ya Africa. Wadhifa ambao angeanza kuutumikia March 2025. Hivyo angejiuzuru ubunge na kuhamia huko HQ Africa ya kati.
Sass nashangaa mnafurahi eti amefariki kaachia jimbo kwa huyo muuwaji wa Lissu.
Mngefurahi alipochaguliwa kuwa mkurugenzi wa WHO maana ndo ticket ya kuaçha ubunge ili mumpe dab.
 
Wana-Kigamboni tufanye Jambo moja tu. Kura zote kwa Komredi DAB

Kuhusu kifo cha mbunge wa Kigamboni, soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
IMG_20240729_130527.jpg

Wanakemea MAPEPO, You Know 😂​
 
Wana-Kigamboni tufanye Jambo moja tu. Kura zote kwa Komredi DAB

Kuhusu kifo cha mbunge wa Kigamboni, soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Makonda hawezi kushinda uchaguzi kigamboni , anaweza kugombea Mbagala.

Kigamboni Ina class ya watu ambao wengi wamestaarabika na wasomi, sio ,hawana siasa NJAA za buku jero jero, kwa Makonda kigamboni sio mahali pake, hashindi.
 
Hata kabla ya kifo chake…Alishatangaza kwamba hatogombea Tena ubunge…
 
Ukweli wengi hamjui kinachoendelea, Ndugulile alishaachana na maccm toka alipochaguliwa kuwa mkurugenzi wa WHO Kanda ya Africa. Wadhifa ambao angeanza kuutumikia March 2025. Hivyo angejiuzuru ubunge na kuhamia huko HQ Africa ya kati.
Sass nashangaa mnafurahi eti amefariki kaachia jimbo kwa huyo muuwaji wa Lissu.
Mngefurahi alipochaguliwa kuwa mkurugenzi wa WHO maana ndo ticket ya kuaçha ubunge ili mumpe dab.
Hakuna aliefurahia kifo chake.Kumbuka kafa akiwa mbunge.Hiyo ndo point.Mambo ya ange ange hayanaga uhakakika.Uhakika ni kwamba alikuwa Mbunge wa Kigamboni mpaka kifo chake kilipompata.
 
Back
Top Bottom