Small letter
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 280
- 177
Ujinga wa hali ya juu aisee huuDaah mtu hata ajazikwa mnagombaniana mali kweli "Umasikini ni Ugonjwa"
Thabo Mbeki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga wa hali ya juu aisee huuDaah mtu hata ajazikwa mnagombaniana mali kweli "Umasikini ni Ugonjwa"
Thabo Mbeki.
Wajumbe tutakula kichwa kama ilivyokuwakawaida yetu,ila tutaanza na kuengua ikishindikana tuna kula kichwa hatua itakayofuata.Wana-Kigamboni tufanye Jambo moja tu. Kura zote kwa Komredi DAB
Kuhusu kifo cha mbunge wa Kigamboni, soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Walijipanga, na kupanga, mipango iliyopangikaDuh!watu mko serious sana
Yaani kiufupi hamna muda wakupoteza🤔
Mpoki Mjuni.Wana-Kigamboni tufanye Jambo moja tu. Kura zote kwa Komredi DAB
Kuhusu kifo cha mbunge wa Kigamboni, soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Ndugu hakuna uchaguzi utafanyika kwa sasa sheria hairuhusu... jimbo litabaki wazi hadi mwakani. Ingekuwa ni zaidi ya mwaka mmoja hadi uchaguzi mkuu ufike... nafasi ingejazwa sasaNitoe pole kwa wafiwa kwa kumpoteza mtu muhimu dkt. Faustine ndugulile.
Hakika hiki kifo na mimi kimenistua na kunihuzunisha. Mbuge wa kigamboni tangulia nasi tuko nyuma yako.
Sasa jimbo la kigamboni litakuwa wazi, naiona nafasi ya makonda kwenda kuwa mbunge wa kigamboni.
2020 paul makonda alishika nafasi ya pili kwenye kugombania ubunge wa kigamboni.
Je ataacha ukuu wa mkoa?, tusubiri wakati.