PDF mmelishuhudia bibie Zuhra OUT. Sasa ni zamu ya Kikeke.
Pia soma
Pia soma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekaa vizuriPDF mmelishuhudia bibie Zuhra OUT. Sasa ni zamu ya Kikeke
Asante StudioAnaweza akarudishwa Mwamba Mzee wa Ufafanuzi Gerson Msigwa. Au makonda
DJ leta MANENOAsante Studio
Kuna ubaya akichukuliwa Dr Ryoba?Samia anapenda sana kusifiwa kimataifa. Msemaji wa serikali ajikite na mambo ya ndani na mkurugenzi wa Ikulu ajikite kwenye mambo ya nje. Kikeke alishindwa vetting ya kuwa msemaji wa serikali kutokana na utoto wake/bitozi. Kuna mtu leo alisema tweeter kuwa Samia anamtafuta mkurugenzi wa kumsaidia na uchaguzi mwakani na akasema Samia ameshauriwa msemaji mkuu wa serikali apelekwe Ezekiel Kamwaga na Ikulu Erick Kabendera ambao waliongoza timu ya mawasiliano ya Samia/Magufuli 2015.
Manara?Hakuna kitu kama hicho.
🧐PDF mmelishuhudia bibie Zuhra OUT. Sasa ni zamu ya Kikeke
Naichukua na kuihifdhi hii comment yako, acha muda uongee.Samia anapenda sana kusifiwa kimataifa. Msemaji wa serikali ajikite na mambo ya ndani na mkurugenzi wa Ikulu ajikite kwenye mambo ya nje. Kikeke alishindwa vetting ya kuwa msemaji wa serikali kutokana na utoto wake/bitozi. Kuna mtu leo alisema tweeter kuwa Samia anamtafuta mkurugenzi wa kumsaidia na uchaguzi mwakani na akasema Samia ameshauriwa msemaji mkuu wa serikali apelekwe Ezekiel Kamwaga na Ikulu Erick Kabendera ambao waliongoza timu ya mawasiliano ya Samia/Magufuli 2015.