Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana njaa hatariJamani mbona Pascal Mayala hatajwi? Ingefaa na yeye aende akalambemo ASALI KIDOGO maana Koo limekauka na ana njaa sana.
Kwaiyo tusadiki maneno ya CDF kuwa Kuna wageni wamepewa nyadhifa nyeti serikalini!!!Anatakiwa mtu anayejuana na media za Tanzania vizuri
Msigwa Yuko vizuri
Zuhura Yunus was a foreigner na ki ukweli sio mtanzania alizaliwa uingereza na sijui kama alishawahi kuukana uraia wa uingereza alipofikisha miaka 18
Acheni ujinga. Ugeni na Utanzania mavi ya kale. Cha muhimu mtu ana weledi wa kutosha? Ndivyo Waarabu wa Gulf walivyoendelea. Hawakujali uraia wa mtu akama anajua kazi. Samia na alete Mkenya amsaidie. At least, atakuwa na Kiswahili kizuri kuliko Mbongo!Kwaiyo tusadiki maneno ya CDF kuwa Kuna wageni wamepewa nyadhifa nyeti serikalini!!!
Ndiyo hivyoThe hidden truth.
SignedGea habib
Nchi hii haiishi vituko, unaeeza sikia paa mwijaku, akisaidiana na baba levo ndio wasemaje!! Nchi hii wenye uwezo hawana exposure, wenye exposure hawana uwezo bali ni uchawa tu.Kwa sababu kazi za siku hizi hazitolewi kwa weledi bali umaarufu wa jina na uchawa basi amteue Diamond au Babalevo nafasi hiyo na watafanya vyema kwa hilo lengo la kusifiana
Kweli we ni vichekeshoKwa maoni yangu, hulka ya huyu mama yetu kipenzi inaendana na Maulid Kitenge au Mwijaku. Amteue mmoja kati ya hawa vijana kuja kuchukua kitengo.
Haya ni maoni yangu japo sipendezwi na mambo yao lakini naona wanaendana na falsafa za mama yetu kipenzi.