Nani anafaa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu baada ya Zuhura Yunus kuondolewa?

Nani anafaa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu baada ya Zuhura Yunus kuondolewa?

Anatakiwa mtu anayejuana na media za Tanzania vizuri
Msigwa Yuko vizuri

Zuhura Yunus was a foreigner na ki ukweli sio mtanzania alizaliwa uingereza na sijui kama alishawahi kuukana uraia wa uingereza alipofikisha miaka 18
Duh!
 
Samia anapenda sana kusifiwa kimataifa. Msemaji wa serikali ajikite na mambo ya ndani na mkurugenzi wa Ikulu ajikite kwenye mambo ya nje. Kikeke alishindwa vetting ya kuwa msemaji wa serikali kutokana na utoto wake/bitozi. Kuna mtu leo alisema tweeter kuwa Samia anamtafuta mkurugenzi wa kumsaidia na uchaguzi mwakani na akasema Samia ameshauriwa msemaji mkuu wa serikali apelekwe Ezekiel Kamwaga na Ikulu Erick Kabendera ambao waliongoza timu ya mawasiliano ya Samia/Magufuli 2015.
Apewe Lucas Mwashambwa anajua kusifia hadi anapitiliza labda shule ndiyo itamuangusha,lakini jamaa anajua kujitoa ufahamu katika kusifia.
 
Back
Top Bottom