Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

Sidhan kama itabadili kitu. Sidhani hata kama CCM wanachama wake wangefanya walichofanya, nao wangevumiliwa. Taasisi yoyote ina misingi yake, kwenda kinyume lazima uondolewe. Hata CCM wapo ambao waliondolewa kwa kwenda kinyume na taratibu za CCM. Kimsingi kwa maoni yangu, kama kweli CDM haikuwapa baraka, walipaswa kweli kuondolewa.
Ni kweli lakini approach waliyotumia uongozi wa cdm kushughulikia jambo hili sio sahihi. Kwa hiyo hata hayo maamuzi ya kamati kuu ya cdm yamefanyika kwa kuzingatia kauli walizozitoa kwa umma kabla baada tu ya tukio la kuapishwa wabunge wa viti maalum kupitia cdm, hivyo wasingeweza kubatilisha kauli zao. Kwa mwenendo huu cdm itakuwa ngumu kushika dola kwa sababu kila wakati wao ni kufukuzana bila utaratibu. Cdm imewekeza rasilimali fedha na muda mrefu sana kuwajenga kiuongozi kwa ajili ya kusimamia taasisi katika kufikia lengo lililokusudiwa halafu kabla ya kufikia engo unafukuza na kuanza upya. Sidhani kwa approach hii kama utaweza kufikia lengo.
 
Inabidi awekwe mwanaume kusimamia Bawacha maana maamuzi ya wanawake hayathaminiwi Chadema..
Kama mkuu alivyosema 'isingekua ni mambo ya ku-balance gender makamu wangu wa rais ningemchagua Mwinyi'.

CCM ina allergy sana na wanawake.
 
Ni kweli lakini approach waliyotumia uongozi wa cdm kushughulikia jambo hili sio sahihi. Kwa hiyo hata hayo maamuzi ya kamati kuu ya cdm yamefanyika kwa kuzingatia kauli walizozitoa kwa umma kabla baada tu ya tukio la kuapishwa wabunge wa viti maalum kupitia cdm, hivyo wasingeweza kubatilisha kauli zao. Kwa mwenendo huu cdm itakuwa ngumu kushika dola kwa sababu kila wakati wao ni kufukuzana bila utaratibu. Cdm imewekeza rasilimali fedha na muda mrefu sana kuwajenga kiuongozi kwa ajili ya kusimamia taasisi katika kufikia lengo lililokusudiwa halafu kabla ya kufikia engo unafukuza na kuanza upya. Sidhani kwa approach hii kama utaweza kufikia lengo.
Ndio huko CCM muwachukue sasa hao wakina Mdee,muwafundishe namna ya kushika dola.
 
Inabidi awekwe mwanaume kusimamia Bawacha maana maamuzi ya wanawake hayathaminiwi Chadema..
Hiloooo! Mmeaibika sana nyie watu. Serikali ya chama cha pinduzi inajihusisha na kuiba na sasa inagushi nyaraka?
Utadhani hiki chama ni mkusanyiko wa makahaba yasiyo aibu!
 
Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki, bila kupoteza muda Kamati kuu ya CHADEMA baada ya kutimua wasaliti, imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja, jambo ambalo naliunga mkono .

Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi.

Natanguliza Shukrani.
Wewe...
 
Nadhani wewe unafaa.

Nenda kajipigie pande.

CC: Mtoa mada.

Ila kama wewe sio mwanamke nisamehe.
 
Back
Top Bottom