gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,651
- 4,151
nini? wew ni kinyesi kweliAida Khenani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nini? wew ni kinyesi kweliAida Khenani
Upendo PenezaWakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki, bila kupoteza muda Kamati kuu ya CHADEMA baada ya kutimua wasaliti, imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja, jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi.
Natanguliza Shukrani.
Wasaliti gani waliotimuliwa, hajatimuliwa mtu, ingawaje unapanga mke wako ndo ashike hiyo nafasiiii. Hao wanawake wameonewaa
🙂😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Inabidi awekwe mwanaume kusimamia Bawacha maana maamuzi ya wanawake hayathaminiwi Chadema..
Suzana Kiwanga (mwenyekiti)Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki, bila kupoteza muda Kamati kuu ya CHADEMA baada ya kutimua wasaliti, imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja, jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi.
Natanguliza Shukrani.
Bavicha au BawachaWanafaa kuongoza Bavicha
Kabla ya kufikiria nani anafaa kuongoza BAWACHA, lijalo linafurahisha.Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki, bila kupoteza muda Kamati kuu ya CHADEMA baada ya kutimua wasaliti, imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja, jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi.
Natanguliza Shukrani.
Press ambayo script yake wanaandaliwa na ndugaiSubiri press ya Mdee J2
Sure! CDM inapaswa kuanza kuwawinda wasaliti ndani ya chama na kuwatimua,BAWACHA ni lazima iwe chini ya uangalizi kwa sasa ili kuondoa ushenzi wa hawa watu.Katika Jumuiya zenye obobevu wa uongozi, hasa wakati wanataka maboresho ya uongozi kutoka uongozi wa muda mrefu kwenda mwingine lazima uwepo uongozi wa mpito, katika muda huo tunajipanga zaidi kabla ya kujaza nafasi.
Muda huu BAWACHA ingewachwa chini baraza la uongozi ambao inabidi liundwe na kamati kuu na liongoze taasisi hiyo muhimu kwa muda kama mwaka mmoja ili kuondoa sumu (influences) za viongozi wanaoondoka sasa kabla ya kufanya mkutano wa kujaza nafasi zilizo wazi.
Sio kwa Afrika yetu hii..... CUF walifanya hili kosa kutoweka mwenyekiti na kuwa chini ya baraza la uongozi.Katika Jumuiya zenye obobevu wa uongozi, hasa wakati wanataka maboresho ya uongozi kutoka uongozi wa muda mrefu kwenda mwingine lazima uwepo uongozi wa mpito, katika muda huo tunajipanga zaidi kabla ya kujaza nafasi.
Muda huu BAWACHA ingewachwa chini baraza la uongozi ambao inabidi liundwe na kamati kuu na liongoze taasisi hiyo muhimu kwa muda kama mwaka mmoja ili kuondoa sumu (influences) za viongozi wanaoondoka sasa kabla ya kufanya mkutano wa kujaza nafasi zilizo wazi.
Yule mama wa chato kajitoa sana anastahili recognition ya kitaifa.Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki, bila kupoteza muda Kamati kuu ya CHADEMA baada ya kutimua wasaliti, imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja, jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi.
Natanguliza Shukrani.
Principles over individualistic leaders.Ni kweli lakini approach waliyotumia uongozi wa cdm kushughulikia jambo hili sio sahihi. Kwa hiyo hata hayo maamuzi ya kamati kuu ya cdm yamefanyika kwa kuzingatia kauli walizozitoa kwa umma kabla baada tu ya tukio la kuapishwa wabunge wa viti maalum kupitia cdm, hivyo wasingeweza kubatilisha kauli zao. Kwa mwenendo huu cdm itakuwa ngumu kushika dola kwa sababu kila wakati wao ni kufukuzana bila utaratibu. Cdm imewekeza rasilimali fedha na muda mrefu sana kuwajenga kiuongozi kwa ajili ya kusimamia taasisi katika kufikia lengo lililokusudiwa halafu kabla ya kufikia engo unafukuza na kuanza upya. Sidhani kwa approach hii kama utaweza kufikia lengo.
Naye ni Covid 19 Mkuu.Yule aliyekuwa mgombea ubunge Tabora mjini anafaa
Mkuu kama Mdee yadaiwa kugeuka msaliti labda atafutwe malaika ambae hatuna uwezo wa kumteua.Labda tatizo lipo ndani ya uongozi wa juu kabisa.Kwakuwa wanachama wengi wa Chadema mwisho wa siku wanaonekana ni wasaliti mfano Wangwe, Zitto, Kitilla na sasa akina mama Mdee, Esther Matiko, Bulaya, Chadema isimwamini mwanachama yeyote kumpa uongozi. Hivyo, basi ili Chadema ibaki imara na iendelee kuwa imara nashauri Uongozi wa BAWACHA ubaki chini ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe!!!
Kama ya Mbowe ilivyoandaliwa na zitoPress ambayo script yake wanaandaliwa na ndugai