Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

Ni kweli lakini approach waliyotumia uongozi wa cdm kushughulikia jambo hili sio sahihi. Kwa hiyo hata hayo maamuzi ya kamati kuu ya cdm yamefanyika kwa kuzingatia kauli walizozitoa kwa umma kabla baada tu ya tukio la kuapishwa wabunge wa viti maalum kupitia cdm, hivyo wasingeweza kubatilisha kauli zao. Kwa mwenendo huu cdm itakuwa ngumu kushika dola kwa sababu kila wakati wao ni kufukuzana bila utaratibu. Cdm imewekeza rasilimali fedha na muda mrefu sana kuwajenga kiuongozi kwa ajili ya kusimamia taasisi katika kufikia lengo lililokusudiwa halafu kabla ya kufikia engo unafukuza na kuanza upya. Sidhani kwa approach hii kama utaweza kufikia lengo.
 
Inabidi awekwe mwanaume kusimamia Bawacha maana maamuzi ya wanawake hayathaminiwi Chadema..
Kama mkuu alivyosema 'isingekua ni mambo ya ku-balance gender makamu wangu wa rais ningemchagua Mwinyi'.

CCM ina allergy sana na wanawake.
 
Ndio huko CCM muwachukue sasa hao wakina Mdee,muwafundishe namna ya kushika dola.
 
Inabidi awekwe mwanaume kusimamia Bawacha maana maamuzi ya wanawake hayathaminiwi Chadema..
Hiloooo! Mmeaibika sana nyie watu. Serikali ya chama cha pinduzi inajihusisha na kuiba na sasa inagushi nyaraka?
Utadhani hiki chama ni mkusanyiko wa makahaba yasiyo aibu!
 
Wewe...
 
Nadhani wewe unafaa.

Nenda kajipigie pande.

CC: Mtoa mada.

Ila kama wewe sio mwanamke nisamehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…