Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

Suzan Kiwanga, Mbunge halali wa Mlimba
 
Kwa haraka haraka nakupendekeza wewe 😊 Mungu endelea kuibariki Chadema
 
Unaweza kukumbuka Benard Membe alifukuzwa nq chama kipi na kwa kosa lipi?
 
Kwakuwa wanachama wengi wa Chadema mwisho wa siku wanaonekana ni wasaliti mfano Wangwe, Zitto, Kitilla na sasa akina mama Mdee, Esther Matiko, Bulaya, Chadema isimwamini mwanachama yeyote kumpa uongozi. Hivyo, basi ili Chadema ibaki imara na iendelee kuwa imara nashauri Uongozi wa BAWACHA ubaki chini ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe!!!
 
Wale Wanawake ambao wataweza tu Kumridhisha Mwenyekiti Wao Taifa kwa Sera zao hasa za Faragha na Kibaiolojia hadi Kufurahi ndiyo watafaa.
 

Vuta fikira ujinga kama huu ungefanywa ndani ya CCM ya Magufuli hawa akina mama muda huu wangekuwa wapi?
 
Mkuu erythrocyte tatizo chadema Ina watu kibao nashauri KWA nafasi hizi wajitokeze wagombea, kila mmoja KWA wakati wake ajinadi ili tuweze kupima uwezo wao,
Alafu kazi kubwa kamati kuu umefanya jana,so KWA hili pasiwe na haraka ili kupata watu bora
 
Chama kusikiliza aina ya watu wa aina hii ni kielelezo tosha kuonyesha chama kimeshakufa tayari..chama chenye uhai hakiwezi kutishwa na kelele za wahuni wnaofanya siasa mitandaoni, toka uchaguzi kwisha na chama hiki kuomba kuungwa mkono barabarani kwa maandamano, kwa kelele wanazopiga na kushabikia hukumu za wengine hawa wajinga wa humu walipaswa wawe wa kwanza kuwa barabarani..maneno meeengi bila reasoning!
 
Labda kama mna wanasiasa wanaoishi kwa upepo, lakini hawa ambao wanaishi kwa ugali kama sisi, haya mambo hayataisha.
 
Kwa maoni yako wangefanywaje labda, tupate uzoefu wako.
 
Mimi nampendekeza Musubhati CPA Catherine Ruge apewe hiyo nafasi!
 
Suzan Limbwali Kiwanga anafaa sana au CPA Catherine Ruge
 
Catherine Ruge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…