Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Usimfananishe Yesu na mambo ya kijinga Tafadhali.Yesu alizaliwa kwenye banda la mifugo. Utu uzima wake wote hakuwa na makazi wala kibarua cha kudumu. Aliishi kwa fadhila za watu.
Nyerere alipojiunga na TAA alikuwa mwalimu wa kawaida tu ambae alikuwa anapakizwa kwenye baiskeli kurudi shuleni.
Bibi Titi Mohammed hakusoma na aliolewa akiwa na umri wa miaka 14. Alikuwa muimbaji kwenye kikundi cha ngoma.
Kutokana na mawazo yako, wote hawa hawakustahili uongozi kutokana na hali duni waliyokuwa nayo.
Mpimeni huyu binti kwa uwezo wake na sio vitu alivyokuwa navyo.
Amandla...
Wanafikiri uongozi ni kuvaa jeans na kudangaKumbe unamjua, watu wanataja tu
Yesu anakujaje hapa sasa.? Usimfanishe Yesu na vitu vya kijinga.Yesu alizaliwa kwenye banda la mifugo. Utu uzima wake wote hakuwa na makazi wala kibarua cha kudumu. Aliishi kwa fadhila za watu.
Nyerere alipojiunga na TAA alikuwa mwalimu wa kawaida tu ambae alikuwa anapakizwa kwenye baiskeli kurudi shuleni.
Bibi Titi Mohammed hakusoma na aliolewa akiwa na umri wa miaka 14. Alikuwa muimbaji kwenye kikundi cha ngoma.
Kutokana na mawazo yako, wote hawa hawakustahili uongozi kutokana na hali duni waliyokuwa nayo.
Mpimeni huyu binti kwa uwezo wake na sio vitu alivyokuwa navyo.
Amandla...
Wwe umeuliza tunampendea nini? Ndio nmekutajia, hayo ya usaliti hta Mdee aliyekua loyal miaka 15+ amefanya.Mihemko bado mnaendelea nayo. Bahati mbaya kabisa hamumjui ndio maana nikauliza kwanza, huyo hujui baada ya uchaguzi alikuwa na tuhuma za kushirikiana na ccm? Waulizeni viongozi wa chadema Tanga
Aliolewa na Juma NatureMwampamba siku Hizi yupo wapi?
Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki, bila kupoteza muda Kamati kuu ya CHADEMA baada ya kutimua wasaliti, imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja, jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi.
Natanguliza Shukrani.

Usimfananishe Yesu na mambo ya kijinga Tafadhali.
Mkuu,Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki, bila kupoteza muda Kamati kuu ya CHADEMA baada ya kutimua wasaliti, imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja, jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi.
Natanguliza Shukrani.
Yesu anakujaje hapa sasa.? Usimfanishe Yesu na vitu vya kijinga.
mfano wako ni wa bandiaMkuu,
Yaani mume anafiwa na mkewe siku hiyo hiyo unawatangazia wanawake wengine nani yuko tayari kuchukua nafasi yake? Kweli hampendani, penye tofauti ndio huonesha matundu yaliyosilibwa na pamba.....mpaka mtatoana roho bure mwishowe mnakosa wote.....!!!
Mkuu funguka kidogo maana wengine tuko gizani hadi sasa, kumbe kulikuwa na mchakato kikuwadi wa kutafuta wabunge.Catherine Ruge,ameonyesha ukomavu na kutokuwa na tamaa mbele,Kama alishawishiwa na wenzake na bado akasimamia msimamo wake kwamba hawezi saliti chama.Huyu anafaa sana.
Apewe dada.. NewtonCHADEMA Ina hazina mpya tele. Apewe Yosta Komba
Kwisha habari yeke huyu..asubiri kuteuliwa uDC na babake walau afute machozi.Subiri press ya Mdee J2
Anakuwa mbunge wa Mahakama kwa miaka mitano,Kwisha habari yeke huyu..asubiri kuteuliwa uDC na babake walau afute machozi.
Mzee MdeeSubiri press ya Mdee J2