Bunda Kwet JF-Expert Member Joined Feb 24, 2025 Posts 274 Reaction score 392 Aug 2, 2025 #21 Apewe Yusuph Kagoma
endesha JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 1,680 Reaction score 2,760 Aug 2, 2025 #22 Ila twende mbele turudi nyuma ni kwamba Simba ina uhaba wa wachezaji viongozi. Tungekua na mtu mwenye haiba kama ya ngoma,au Mchomaji Che Malone ingekua ni jambo la heri sana. ILa kwa sasa anayestahili ni Shomari kabeer. Msaidizi wake sasa ndio changamoto kubwa.Ipigwe tu sadakalawe.
Ila twende mbele turudi nyuma ni kwamba Simba ina uhaba wa wachezaji viongozi. Tungekua na mtu mwenye haiba kama ya ngoma,au Mchomaji Che Malone ingekua ni jambo la heri sana. ILa kwa sasa anayestahili ni Shomari kabeer. Msaidizi wake sasa ndio changamoto kubwa.Ipigwe tu sadakalawe.