Nani anafaa kuwa nahodha mpya Simba Sports Club?

Ila twende mbele turudi nyuma ni kwamba Simba ina uhaba wa wachezaji viongozi.

Tungekua na mtu mwenye haiba kama ya ngoma,au Mchomaji Che Malone ingekua ni jambo la heri sana.

ILa kwa sasa anayestahili ni Shomari kabeer.

Msaidizi wake sasa ndio changamoto kubwa.Ipigwe tu sadakalawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…