Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mbona Lowassa alijiuzuru lakini Chadema waliotuaminisha Lowassa ni fisadi wakamchukua awe mgombea wao wa Urais.Mwambie asijisumbue ataabika ukishajiuzuru huwezi gombea ukapitishwa
Nchi ina viongozi wa hovyo sana..
Unalosema linaweza kutokea pia,, nchi hii haieleweki kabisa siku hizi..
Ndugai amejiuzulu bila kufanya kosa lolote,,,coz alichosema wala sikuona kama ni kosa
Mbona Lowassa alijiuzuru lakini Chadema waliotuaminisha Lowassa ni fisadi wakamchukua awe mgombea wao wa Urais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuwa CCM ni dhambi au kuwa mwanachadema ni utakatifu ?Lowassa yupo CCM. Na mtoto wake Ni mbunge wa CCM. Mumfukuze huko CCM tujue nyie sio wanafiki.
Job Ndugai atachukua fomu ya Uspika na atachaguliwa kwa Mara nyingine kuwa Spika wa JMT
Sgang bado mnahamu ya kutuvurugia taifa eehh.
Ila hao ccm wametutengenezea sumu ya ubaguzi,hivyo Kwa taifa ni hatari zaidi ya kuwa na faida.Taifa Leti Linavurugwa Na Ccm
Hakutakuwa gharama za uchaguzi huo?Je,tunalipia kwa fedha za uviko,tozo ama mapato ya ndani ya bunge?Job Ndugai atachukua fomu ya Uspika na atachaguliwa kwa Mara nyingine kuwa Spika wa JMT
Dogo legasi ya mwendazake ndo basi tenaJob Ndugai atachukua fomu ya Uspika na atachaguliwa kwa Mara nyingine kuwa Spika wa JMT
Mi naona uspika apewe Riziwan kwanza mi msomi mwanasheria sina shaka nae.Tulia ni sukuma gang pure! Hafai kabisa na ninamwombea ajiuzuru unaibu spika Ili aruhusiwe kugombea uspika halafu ccm wampige chini huko kamati kuu akirudi anakuta unaibu spika wamejaza mtu ,hapo sukuma gang wanazidi kupukutika ,na tunaamza na kamati za BUNGE Zina wenyeviti wa sukuma gang watupu huko.
Kwa hiyo na wewe kwa akili zako za hovyo unaona inawezekana